-
Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kuwauwa kwa makusudi raia wa Palestina
Jan 23, 2023 23:10Jeshi la utawala wa Kizayuni limetoa taarifa na kukiri kwa namna isiyo rasmi kwamba lilimlenga na kumuua shahidi mwanamme wa Kipalestina bila ya sababu yoyote ile.
-
Kuanza tena uchunguzi kuhusu mlipuko wa bandari ya Beirut
Jan 23, 2023 22:53Duru za habari za Lebanon zimetangaza kuwa hakimu anayechunguza kesi ya mlipuko uliotokea mwaka 2020 katika bandari ya Beirut ameamua kuanzisha tena uchunguzi wa kesi hiyo.
-
Mashambulio ya Saudia mpakani mwa Yemen yameua watu saba na kujeruhi 91
Jan 23, 2023 07:28Duru za Yemen zimeripotiwa kuwa, tangu ulipoanza mwaka mpya wa 2023 hadi sasa, watu saba wameuawa na wengine 91 wamejeruhiwa katika mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Saudi Arabia katika maeneo ya mpakani mwa Yemen.
-
Balozi mwingine wa Israel ajiuzulu kulalamikia serikali ya misimamo ya kufurutu mpaka ya Netanyahu
Jan 23, 2023 07:14Baada ya kujiuzulu balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Ufaransa, balozi wa utawala huo nchini Canada naye pia amejiuzulu wadhifa wake kulalamikia baraza la mawaziri lenye misimamo ya kufurutu ada linaloongozwa na Benjamin Netanyahu na kumuunga mkono waziri mkuu wa zamani Yair Lapid ambaye ni kiongozi wa wapinzani wa Netanyahu.
-
Kukalia kuti kavu baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu
Jan 23, 2023 04:40Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamiin Netanyahu halijafikisha hata muda wa mwezi mmoja ambapo tayari linakabiliwa na hatari ya kusambaratika.
-
Kuendelea uingiliaji hasi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iraq
Jan 23, 2023 00:17Marekani ingali inaendelea kuingilia masuala ya ndani ya Iraq kwa namna hasi, kwa kuzingatia nyenzo za mashinikizo ilizonazo mikononi mwake.
-
Sana'a: Uingereza sababu kuu ya uvamizi Yemen
Jan 22, 2023 07:48Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameeleza kuwa, Uingereza si tu haiwezi kusaidia kupunguza mateso na masaibu ya kiuchumi ya wananchi wa Yemen bali nchi hiyo ni sehemu kuu ya njama ya kuvamiwa nchi hiyo.
-
Kufutwa kazi Waziri wa Mambo ya Ndani katika baraza la mawaziri la Netanyahu
Jan 22, 2023 07:41Licha ya Mahakama Kuu ya utawala wa Kizayuni kubatilisha uamuzi wa Aryeh Deri kuwa Waziri wa Afya na wa Masuala ya Ndani wa utawala huo kutokana na rekodi yake mbaya ya uhalifu; vyombo vya habari vya utawala wa Israel vimetangaza kuwa Benjamin Netanyahu amemuuzulu waziri huo.
-
Maelfu waandamana tena dhidi ya serikali yenye misimamo mikali ya Netanyahu
Jan 22, 2023 04:12Kwa mara nyingine, makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kupachikwa jina la Israel wameandamana dhidi ya serikali yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya Benjamin Netanyahu.
-
Wajordan wakusanyika mbele ya ubalozi wa Israel kuunga mkono msikiti wa al-Aqswa
Jan 21, 2023 23:01Makumi ya wananchi wa Jordan wamekusanyika mbele ya ubalozi wa utawala haramu wa Israel mjini Amman ambapo sambamba na kuulaani jinai za utawala haramu wa Israel wametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa msikiti wa al-Aqswa.