-
Sheikh Naim Qassim: Daima Marekani imekuwa ikifuatilia kuzusha machafuko Lebanon
Dec 05, 2022 22:47Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani daima imekuwa ikifutilia kuzusha vurugu na machafuko nchinii Lebanon.
-
Wabahrain waandamana kulaani safari ya Rais wa Israel nchini kwao
Dec 05, 2022 22:47Maandamano makubwa ya kupinga safari ya Rais Isaac Herzog wa utawala haramu wa Israel yamefanyika katika mji mkuu wa Bahrain, Manama.
-
Malengo ya pamoja ya Aal-Khalifa na Israeli kuhusu safari ya Herzog mjini Manama
Dec 05, 2022 22:46Isaac Herzog, mkuu wa utawala wa Kizayuni unaokalia kwa mabavu Quds Tukufu, aliwasili nchini Bahrain tarehe 4 Disemba kwa ziara rasmi ambapo alikutana na kuzungumza na Mfalme Hamad bin Issa wa nchi hiyo. Safari hiyo imefanyika kwa mwaliko rasmi wa mfalme huyo.
-
Njama ya UAE yazimwa na "kampeni ya kufelisha uanzishaji uhusiano na Israel"
Dec 05, 2022 08:36Kuzinduliwa kampeni kwenye mitandao ya kijamii yenye alama ya hashtag "Kufeli Uanzishaji Uhusiano na Israel Katika Kombe la Dunia Qatar" kumekaribishwa kwa wingi na wanaharakati wa Muungano wa Falme za Kiarabu, Imarati na nchi zingine za Kiarabu ambao wote wamesisitiza kwa kauli moja kwamba, Kombe la Dunia la Soka nchini Qatar limefichua na kuzima njama ya Imarati ya kueneza mpango wa kuanzisha uhusiano na Wzayuni.
-
Walio hatarini kunyongwa Saudia kwa sababu za kiitikadi wafikia 59
Dec 05, 2022 07:49Vyombo vya mahakama vya Saudi Arabia vimepitisha hukumu ya adhabu ya kifo kwa vijana kadhaa waliowekwa kizuizini ukiwa ni mwendelezo wa utoaji hukumu za kifo kiholela kwa raia wanaoshikiliwa kwa sababu za kiitikadi.
-
Yemen: Tunao uwezo wa kujibu shambulio lolote kwa makombora na droni
Dec 05, 2022 07:39Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vinao uwezo wa kujibu mapigo dhidi ya shambulio lolote lile.
-
Harakati za Hamas, Jihad Islami zalaani vikali ziara ya rais wa Israel nchini Bahrain
Dec 05, 2022 04:40Harakati mbili za mapambano ya Kiislamu (muqawama) Palestina za Hamas na Jihad Islami zenye makao yake katika Ukanda wa Gaza zimelaani vikali ziara inayoendelea nchini Bahrain ya rais wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Kombe la Dunia; mwanajeshi Mzayuni akimbia haraka Qatar baada ya kugunduliwa uhakika wake
Dec 04, 2022 08:11Mwanajeshi mmoja Mzayuni aliyejipenyeza nchini Qatar kwa sura bandia ya msanii wa vichekesho, amekimbia haraka nchini humo baada ya Mpalestina mmoja kumgundua na kufichua uhakika wake kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter.
-
Ismail Ridhwan: Jinai ya kumuua shahidi Ammar Mefleh haitasalia bila jibu
Dec 04, 2022 08:00Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa, jinai ya kumuua shahidi Ammar Mefleh ni jinai ya kivita na dhidi ya binadamu na haitasalia bila jibu.
-
Kuwait kujinaisha kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 04, 2022 04:22Bunge la Kuwait kwa mara nyingine limechukua hatua inayoashiria msimamo usiotetereka wa nchi hiyo kuhusiana na Palestina, na sasa linaandaa mpango wa kisheria wa kufanya kuwa jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.