-
Kwa mara ya tano Bunge la Lebanon lashindwa kumpata rais mpya wa nchi hiyo
Nov 10, 2022 09:20Bunge la Lebanon limekutana tena leo Alkhamisi, lakini kwa mara ya tano limeshindwa kumpata rais mpya wa nchi hiyo.
-
Nguvu za Muqawama; sababu kuu ya kutiwa saini makubalino ya mipaka ya baharini
Nov 10, 2022 05:20Hivi karibuni, Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel zilitiliana saini makubaliano ya mpaka wa baharini kwa upatanishi wa Marekani. Hivi sasa lakini Benjamin Netanyahu anadai kuwa hatoheshimu makubaliao hayo.
-
Ayatullah Issa Qassim: Lengo la Uchaguzi wa Bahrain ni kuua demokrasia
Nov 10, 2022 04:14Sheikh Issa Qassim, kiongozi wa kidini wa mapinduzi ya Bahrain amesema kuwa, kususia uchaguzi ujao nchini humo ni hatua inayolenga kulinda demokrasia.
-
Umaskini waathiri zaidi ya robo ya jamii katika nchi za Kiarabu
Nov 09, 2022 21:52Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema kuwa umaskini umeathiri zaidi ya robo ya jamii katika nchi za Kiarabu.
-
Uchaguzi wa Bahrain; Wabahrain wanataka haki ya kuainisha mustakbali wao
Nov 09, 2022 21:51Katibu Mkuu wa Harakati Ukombozi wa Bahrain amesema kuwa wananchi wa Bahrain wanataka haki zao za kisheria ikiwemo haki ya kuainisha mustakbali wao kupitia harakati yao ya amani.
-
Syria: Tutaendelea na mapambano dhidi ya ugaidi hadi tutakapoisafisha ardhi yetu yote
Nov 09, 2022 03:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa, mapambano dhidi ya magenge ya kigaidi huko kaskazini na kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu yataendelea hadi kila shibri ya ardhi ya Syria itakaposafishwa kikamilifu.
-
Inkstick: Silaha za Marekani zinatumika kuua raia wa Yemen
Nov 08, 2022 23:18Vyombo vya habari vya Marekani vimefichua kwamba muungano wa vita unaoongozwa na Saudi Arabia unatumia silaha zilizotengenezwa Marekani kuua raia wa Yemen.
-
Ripoti: Tel Aviv inatumia "mbinu za kimafia" dhidi ya makundi ya haki za binadamu ya Palestina
Nov 08, 2022 23:18Shirika la kutetea haki za binadamu la Palestina limesema katika ripoti yake kwa kamati ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kwamba Israel inatumia vitisho na mbinu za kimafia kuyanyamazisha mashirika ya kutetea haki za binadamu.
-
Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya uchaguzi wa Israel na ushindi wa vyama vya mrengo wa kulia
Nov 08, 2022 23:17Usiku wa kuamkia Jumatatu vikosi vya utawala vamizi wa Israel vilishambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu na kuwatia mbaroni vijana 20 wa Kipalestina.
-
Mzayuni aangamizwa katika operesheni ya wanamapambano wa Palestina
Nov 08, 2022 07:43Kanali ya televisheni ya KAN ya utawala wa Kizayuni, mapema leo Jumanne imetangaza habari ya kuangamizwa mlowezi mmoja Mzayuni anayejulikana kwa jina la Shalom Sofer ambaye alijeruhiwa katika operesheni moja ya mwanamapambano wa Palestina.