-
HAMAS: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Aug 17, 2022 23:41Mousa Mohammed Abu Marzook, Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Wapalestina wa Gaza wataka kushtakiwa Wazayuni walioua watoto wao
Aug 17, 2022 07:47Wakazi wa Ukanda wa Gaza wamefanya maandamano wakitaka kufunguliwa mashitaka utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama za kimataifa, kwa kuua watoto wa Kipalestina katika eneo hilo ambalo liko chini mzingiro.
-
Mwanamke Saudia afungwa jela miaka 34 kwa ujumbe wa Twitter
Aug 17, 2022 07:40Saudi Arabia imemhukumu mwanamke mmoja kifungo cha miaka 34 jela, eti kwa kupatikana na hatia ya kumiliki ukurasa wa Twitter na kusambaza ujumbe unaoukosoa utawala wa Aal-Saud kupitia mtandao huo wa kijamii.
-
HAMAS: Muqawama una uungaji mkono mkubwa wa Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi
Aug 17, 2022 02:37Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiisalamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, muqawama uko chini ya mwavuli wa uungaji mkono wa kivitendo wa Wapalestina na jambo hilo ndilo linalozidi kutia nguvu harakati za muqawama katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wapalestina wafichua njama ya Israel ya kuubomoa kikamilifu msikiti wa Al Aqsa
Aug 16, 2022 22:10Duru za Palestina katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu zimefichua njama ya awamu tatu iliyoandaliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa lengo la kuubomoa msikiti mtukufu wa Al Aqsa.
-
Iraq katika mkondo wa kushtadi zaidi mkwamo wa kisiasa
Aug 16, 2022 22:04Uamuzi wa makundi na mirengo ya kisiasa ya Iraq wa kufanya mikusanyiko ya barabarani umeifanya anga ya kisiasa ya nchi hiyo kuwa tete zaidi na mkwamo wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo kushtadi zaidi.
-
Israel yakiri kuwaua watoto Wapalestina Gaza
Aug 16, 2022 09:34Utawala wa Kizayuni wa Israel umekiri kuwaua watoto watano Wapalestina katika hujuma yake ya hivi karibuni dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Marekani inaiba 80% ya mafuta yanayozalishwa Syria kila siku
Aug 16, 2022 03:09Marekani inapora asilimia 80 ya mafuta yanayozalishwa kwa siku nchini Syria.
-
HAMAS: Muqawama ndio njia bora kabisa ya kuikomboa ardhi ya Palestina
Aug 15, 2022 22:12Mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, muqawama na mapambano ndio njia bora kabisa ya kuzikomboa ardhi za Palestina na kuifanya Palestina kuwa huru.
-
Karzai: Wananchi wa Afghanistan wametaabika mno kwa kuweko majeshi ya Marekani nchini kwao
Aug 15, 2022 22:11Hamid Karzai Rais wa zamani wa Afghanistan amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo wamedhurika pakubwa katika kipindi cha miaka 20 iliyopita ya kuweko majeshi ya kigeni yakiwemo ya Marekani katika nchi yao.