-
Katika mwaka 2025, wahamiaji wapatao elfu nane wamefariki au kutoweka duniani kote
Feb 27, 2026 05:41Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa watu wasiopungua 7,667 walifariki au kutoweka katika njia za uhamiaji duniani kote katika mwaka uliopita wa 2025, na kuonya kwamba idadi halisi ya watu hao huenda ikawa kubwa zaidi huku likiitaja hasara hiyo ya upoteaji wa roho za watu inayoendelea kushuhudiwa kuwa "kufeli kimataifa."
-
Pakistan yatangaza 'vita vya wazi' dhidi ya Afghanistan, yashambulia Kabul na miji mingine
Feb 27, 2026 03:43Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amesema, subira ya nchi yake kwa kundi la Taliban imemalizika na kwa hiyo imeingia kwenye "vita vya wazi," dhidi ya Afghanistan.
-
El-Baradei, mkuu wa zamani wa IAEA aionya Marekani kuhusu gharama “za kutisha” za vita dhidi ya Iran
Feb 26, 2026 23:19Mohamed El-Baradei, aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), ameionya Marekani kuhusu madhara makubwa na ya kutisha yatakayojitokeza iwapo itaingia katika vita vingine dhidi ya Iran, huku akipinga hoja za Washington zinazodai kuhalalisha uchokozi huo mpya.
-
Wademokrati wanaishutumu Wizara ya Sheria ya Marekani kwa kumwondoa Trump kwenye Mafaili ya Epstein
Feb 26, 2026 23:08Chama cha Democratic kimeituhumu serikali ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwa "ufichaji mkubwa zaidi wa serikali katika historia ya sasa" kutokana na ripoti kwamba imeficha nyaraka zinazohusiana na madai kwamba rais Trump anayetoka chama cha Republican alimnyanyasa kingono mtoto mdogo.
-
Kim atishia kuifuta kabisa Korea Kusini na kuweka masharti ya makubaliano na Washington
Feb 26, 2026 23:08Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ametishia "kumfuta kabisa" jirani yake wa kusini iwapo usalama wa nchi yake utatishiwa, akiitaja Korea Kusini kuwa ndiyo "kitu chenye uadui mkubwa zaidi" na kutupilia mbali uwezekano wowote wa kufanya mazungumzo na nchi hiyo.
-
Upeo wa ubaguzi; Trump ataka Ilhan, Tlaib wafukuzwe Marekani
Feb 26, 2026 02:06Rais Donald Trump amesema Wawakilishi wa Marekani, Ilhan Omar na Rashida Tlaib wanapaswa kurudishwa "walikotoka" baada ya wabunge hao wawili wa chama cha Democratic katika Congress ya Marekani kupiga kelele na kulalamika wakati wa hotuba ya karibuni ya Trump katika Kongresi.
-
Ripoti ya haki za kisheria yafichua “ukandamizaji dhidi ya Wapalestina” nchini Uingereza
Feb 26, 2026 00:19Shirika moja la haki za kisheria limebaini kile lilichokitaja kuwa “juhudi za kimfumo” za kukandamiza harakati za mshikamano na Palestina nchini Uingereza, likirekodi karibu matukio 1,000 katika kipindi cha miaka sita iliyopita yanayoonesha mfumo uliokita wa “ukandamizaji dhidi ya Wapalestina.”
-
NGO iliyoanzishwa na CIA yakiri kuhusika na machafuko Iran
Feb 25, 2026 23:57Shirika lisilo la Kiserikali (NGO) Marekani National Endowment for Democracy (NED), ambalo lilianzishwa na shirika kuu la kijasusi nchini humo, CIA, limekiri kuwa lilitumia takriban vifaa 200 vya Starlink nchini Iran wakati wa machafuko ya hivi karibuni.
-
Mgongano wa wazi ndani ya Washington; kuanzia tuhuma hadi uthibitisho kwamba mpango wa nyuklia wa Iran ni wa amani
Feb 25, 2026 23:47Rais wa Marekani Donald Trump amekoleza maradufu moto wa kampeni yake ya kueneza sumu dhidi ya Iran kwa kurudia tena tuhuma hewa za kila mara kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran.
-
Wakati nguvu kubwa inapochukuliwa mateka pamoja na manowari zake
Feb 25, 2026 23:03Ingawa Marekani daima inapiga ngoma ya vita na kutishia kuishambulia Iran kwa kutuma manowari na zana nyingine nzito za kijeshi katika maji yaliyo karibu na Iran, lakini ukweli wa mambo unaashiria hali tofauti kabisa.