-
Lavrov: Kadhia ya Epstein imedhihirisha sura halisi ya 'kuabudu shetani' ya watu mashuhuri wa Magharibi
Feb 09, 2026 23:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mtindo mchafu wa maisha wa mfadhili na mhalifu wa vitendo vya ngono wa Marekani Jeffrey Epstein pamoja na tapo lake ni ushuhuda wa kuporomoka kimaadili shakhsia muhimu na maarufu wa Magharibi.
-
Maandamano katika miji mikuu mingi ya kutaka kuingizwa misaada Gaza na kulaani jinai za Israel
Feb 09, 2026 03:08Miji mikuu mingi ya dunia imeendelea kushuhudia maandamano ya kulaani ukiukaji unaoendelea wa utawala wa Kizayuni wa makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Kwa nini China inatetea "haki ya nyuklia" ya Iran?
Feb 08, 2026 22:53China kwa mara nyingine tena imesisitiza juu ya kutetea haki ya nyuklia ya Iran.
-
Italia yasema haiwezi kujiunga na 'Bodi ya Amani' ya Trump, sababu ni kukinzana na katiba yake
Feb 08, 2026 02:48Italia imesema haiwezi kujiunga na kinachoitwa "Bodi ya Amani" ya Rais wa Marekani Donald Trump kutokana na "mpaka wa kikatiba" ukiwa ni mkwamo mpya na wa karibuni zaidi kukikabili "chombo hicho cha kimataifa cha kujenga amani", alichojibunia rais wa Marekani.
-
Je, Trump ni rais wa amani kama anavyodai mwenyewe?
Feb 07, 2026 08:11Donald Trump, ambaye anajiona kama rais wa amani, amekariri madai yake dhidi ya uwezo wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, akidai kwamba bila hivyo, amani katika Asia Magharibi isingewezekana.
-
Guardiola ajibu mapigo dhidi ya Baraza la Wayahudi, apinga tena mauaji ya watu wasio na hatia huko Gaza
Feb 07, 2026 03:54Meneja wa timu ya Manchester City, Pep Guardiola aliisisitiza jana Ijumaa kwamba atapaza sauti yake waziwazi wakati wowote "watu wasio na hatia wanapouawa" popote pale duniani, akijibu ukosoaji wa Baraza la Wawakilishi wa Jumuiya ya Wayahudi la Jiji la Manchester nchini Uingereza.
-
Trump anakabiliwa na tuhuma za ubaguzi wa rangi baada ya kuchapisha video inayomuonyesha Obama na mkewe kama nyani
Feb 07, 2026 02:17Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua hasira katika duru za kisiasa baada ya kurusha mkanda wa video kwenye jukwaa lake la "Truth Social" akitangaza nadharia za njama za uchaguzi ikiwa na kile kilichoelezwa kuwa maudhui ya "ubaguzi wa rangi" yanayomuonyesha Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama na mkewe, Michelle kama nyani.
-
ISIS yasema imehusika na shambulio lililoua makumi wa Waislamu dhidi ya msikiti, Islamabad
Feb 07, 2026 01:49Kundi la kigaidi la Daesh limetangaza kuwa limehusika na shambulio lililolenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa Khadijatul Kubra mjini Islamabad huko Pakistan na kuua makumi ya watu wakati wa Swala ya Ijumaa.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Lazima serikali iwalinde watoto na 'sumu' ya mitandao ya kijamii
Feb 06, 2026 23:13Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez amesema, nguvu ya serikali ipo kuzilinda demokrasia na "mashambulizi zinayopata" na kuwalinda watoto na vijana na "ulimwengu wenye madhara makubwa, usioadhibiwa" ambavyo ndivyo imekuwa mitandao ya kijamii hivi sasa.
-
Kwa nini China inalenga kuibadilisha Dola kwa Renminbi (Yuan) katika kiwango cha kimataifa?
Feb 06, 2026 09:00Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito wa kuifanya Renminbi (Yuan), sarafu ya taifa hilo, kuwa sarafu ya akiba ya dunia.