-
ICC: Vikwazo vya US ni hujuma dhidi ya mamilioni ya wahanga wa jinai
Aug 21, 2025 05:43Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetumia maneno makali kuilaani Marekani, kwa hatua yake ya hivi karibuni ya kuwawekea vikwazo majaji wa mahakama hiyo, kutokana na juhudi zao za kuwafungulia mashitaka maafisa Marekani na Israel wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu wa kivita na aina nyingine za ukatili.
-
Makocha wa Soka wa Italia wataka Israel itimuliwe kwenye Mashindano ya FIFA na UEFA
Aug 21, 2025 03:01Kabla ya mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia kati ya Italia na Israel, Chama cha Makocha wa Italia (AIAC), kinachojulikana pia kama Assoallenatori, kimeomba rasmi mashirika ya soka ya kimataifa kuiondoa Israel katika mashindano ya soka ya kimataifa.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kuongezeka mauaji ya wahudumu wa misaada ya kibinadamu
Aug 20, 2025 12:29Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu kuongezeka mauaji ya wahudumu wa misaada ya kibinadamu.
-
Waziri mkuu wa Australia apuuza shutuma za Netanyahu
Aug 20, 2025 12:15Waziri mkuu wa Australia Anthony Albanese leo amepuuza shutuma za Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya uamuzi wa nchi hiiyo wa kulitambua taifa la Palestina, na kusema anawaheshimu viongozi wa nchi nyingine.
-
Makumi ya watu wafariki dunia katika ajali ya barabarani magharibi mwa Afghanistan
Aug 20, 2025 06:31Msemaji wa Serikali ya Jimbo la Herat magharibi mwa Afghanistan amesema kuwa ajali mbaya ya barabarani katika jimbo hilo imeua watu 71, wakiwemo watoto 17.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini aagiza silaha za nyuklia ziwekwe tayari kukabiliana na Marekani
Aug 20, 2025 02:52Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, ameitaka nchi yake kuongeza haraka uwezo wake wa nyuklia kutokana na kile alichokitaja kama “uchochezi wazi wa vita” kupitia mazoezi ya kijeshi ya pamoja ya Marekani na Korea Kusini.
-
‘Haikubaliki’: Australia yaikosoa Israel kwa kubatilisha visa za maafisa wake
Aug 20, 2025 02:37Australia imeikosoa Israel kwa kubatilisha visa za mabalozi wake waliokuwa na mamlaka kwa Mamlaka ya Wapalestina, hatua iliyotambuliwa kama ulipizaji kisasi baada ya Canberra kukataa kumkaribisha mwanasiasa wa mrengo wa kulia wa Israel.
-
Mkutano wa Washington kwa ajili ya amani nchini Ukraine; misukumo na changamoto
Aug 20, 2025 02:18Mkutano wa viongozi wa Ulaya na Marekani kuhusu Ukraine ulifanyika mjini Washington siku ya Jumatatu.
-
Ubelgiji kupiga marufuku simu za mkononi maskulini kuanzia mwaka wa masomo wa 2025-2026
Aug 19, 2025 06:12Matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya kielektroniki yatapigwa marufuku nchini kote Ubelgiji katika skuli za msingi na sekondari kuanzia mwaka wa masomo wa 2025-2026, isipokuwa vitakapolazimu kutumika kwa sababu za kimasomo, kiafya, au za dharura. Hayo yameripotiwa na vyombo vya habari vya ndani ya nchi hiyo.
-
Israel yazuiwa kushiriki maonyesho ya biashara ya Italia
Aug 19, 2025 03:06Utawala wa kizayuni wa Israel umepigwa marufuku kushiriki katika maonyesho ya biashaya Italia.