SAUTI: CUF yasema chama kiko imara
Mar 22, 2017 16:13 UTC
Mjumbe wa Baraza la Uongozi wa CUF azungumza na mwandishi wa Radio Tehran, Zainzibar
Baraza Kuu la Uongozi wa Chama wa Wananchi CUF hivi karibuni lilifanya kikao visiwani Zanzibar na kujadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakabali wa chama hicho cha upinzani. Mwandishi wetu wa Zanzibar Hassan Issa Ali amefanya mahojiano maalumu na mjumbe wa Baraza hilo kuhusu ajenda ya mkutano huo, katika kipindi hiki ambapo CUF inaonekana kukabiliwa na mpasuko na migogoro……
Tags