Makala Mchanganyiko
  • Ubinadamu Kwanza    (Siku ya Kimataifa ya Ubinadamu)

    Ubinadamu Kwanza (Siku ya Kimataifa ya Ubinadamu)

    Aug 26, 2016 03:20

    Siku ya Kimataifa ya Ubinadamu ni siku ambayo walimwengu hukusanyika katika maeneo mbalimbali kuadhimisha na kuwapongeza watu wote waliosabilia nafsi zao kuokoa wanadamu wenzao na kufanya jitihada za kuifanya dunia hii kuwa mahala pa amani na usalama zaidi.

  • Siku ya Kimataifa ya Maziwa ya Mama

    Siku ya Kimataifa ya Maziwa ya Mama

    Aug 18, 2016 03:14

    Tunajua kwamba Qur'ani tukufu ndio kitabu kikubwa zaidi cha Mwenyezi Mungu SW bali tunaweza kusema kwamba, kitabu hicho kina ratiba kamili ya maisha ya mwanadamu. Hii ni kwa sababu mbali ya kutoa mafundisho ya masuala ya malezi, maadili na masuala ya kidini na kiroho, kitabu hicho kinampa mwanadamu habari muhimu za kielimu na kisayansi.

  • Taathira ya fedha za Saudia katika ripoti ya UN kuhusu mauaji ya watoto wa Yemen

    Taathira ya fedha za Saudia katika ripoti ya UN kuhusu mauaji ya watoto wa Yemen

    Aug 18, 2016 01:26

    Wiki iliyopita katika siku ya 500 ya mashambulizi ya Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitoa taarifa inayoonesha idadi ya watu waliouawa, kujeruhiwa na kupatwa na madhara katika nchi hiyo maskini.

  • Kukumbuka siku ya kuzaliwa Bibi Fatima al Maasuma AS

    Kukumbuka siku ya kuzaliwa Bibi Fatima al Maasuma AS

    Aug 03, 2016 11:18

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bibi Fatima al Maasuma 'Alayhas Salam', mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu (SAW).

  • MAKALA: Siku ya Kimataifa ya Quds

    MAKALA: Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 29, 2016 04:05

    Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds. Ni matarajio yangu kuwa mtaendelea kuwa nasi hadi mwisho wa kipindi hiki.

  • Ali AS, dhihirisho la dua na kumtaradhia Allah

    Ali AS, dhihirisho la dua na kumtaradhia Allah

    Jun 27, 2016 03:54

    Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS. Ni matumaini yangu kwamba mtaendelea kuwa kando ya redio zenu kusikiliza niliyokuandalieni.

  • Imam Hassan AS, Kigezo cha Ukarimu

    Imam Hassan AS, Kigezo cha Ukarimu

    Jun 20, 2016 13:53

    Imam Hassan Mujtaba AS alikuwa mjukuu wa kwanza wa Mtume Muhammad SAW. Alikuwa mwana wa mwanamke mtakatifu, Bibi Fatima Zahra SA. Imam alikuwa dhihiriso la kivitendo la Qur’ani Tukufu na alikuwa mujahid, mwenye subira mbali na kuwa mbeba mwenge wa wote wapiganiao haki duniani.

  • Imam Khomeini (ra), Mhuishaji wa dini katika ulimwengu wa sasa

    Imam Khomeini (ra), Mhuishaji wa dini katika ulimwengu wa sasa

    Jun 03, 2016 07:58

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Tuko katika siku za kukumbuka kufariki dunia Imam Khomeini (MA) ambaye ni muanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Maadhimisho ya Siku ya Kuzaliwa Imam Mahdi AS

    Maadhimisho ya Siku ya Kuzaliwa Imam Mahdi AS

    May 21, 2016 13:44

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Mahdi AS. Tunaianza makala hii fupi kwa kusema: Nuru ya umaanawi ya uwepo wa Imam Mahdi AS imeenea hata katika wakati huu wa "ghaiba" wa kutokuwepo mtukufu huyo machoni mwa walimwengu.