-
Usikichome, Leta Mfano Wake Kama Unaweza!
Aug 17, 2023 07:13Siku moja miaka mingi sana iliyopita, yaani miaka elfu mbili kabla ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as), watu wa Namrud (Nimrodi) walikuwa wamerejea makwao kutoka kwenye shughuli ya kidini.
-
Utawala na uongozi katika fikra za kisiasa za Imam Baqir
Jul 02, 2023 14:49Katika siku hizi ambapo mamilioni ya Waislamu wanaelekea katika ardhi tukufu za Makka na Madina kwa ajili ya ibada ya Hija, jina la Mtume wetu Muhammad (saw) na Ahlu Baiti zake watoharifu linatajwa na kuhuishwa zaidi kuliko wakati wowote mwingine.
-
Zama za Mitandao ya Kijamii, Faida na Madhara Yake
Jul 02, 2023 13:18Kupanuka na kuenea kwa mitandao ya kijamii kuna nafasi muhimu katika maisha ya kila siku ya wanadamu, hasa tabaka la vijana. Tarehe 30 mwezi wa Juni ni Siku ya Mitandao ya Kijamii Duniani; kwa msingi huo tunatumia fursa hii kuchunguza umuhimu na athari chanya na hasi za mitandao hiyo kwa jamii na maisha yetu.
-
Rekodi Mpya ya Wakimbizi Duniani
Jul 02, 2023 13:08Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu idadi kubwa na isiyo na kifani ya wakimbizi katika ripoti ambayo imepewa anwani "Mashtaka Dhidi ya Hali ya Sasa ya Dunia."
-
Falsafa na historia ya Idul Adha
Jun 29, 2023 07:33Mwezi 10 Mfunguo Tatu Dhul-Hijjah ni moja ya siku kuu zenye baraka nyingi ambazo umuhimu wake umesisitizwa katika aya za Mwenyezi Mungu za Qur'ani Tukufu na Hadith za Mtume na Maimamu watoharifu.
-
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu; 1444 Hijiria + Sauti
Jun 28, 2023 11:22Umoja unamaanisha kwamba mataifa ya Kiislamu yanapaswa kufahamiana, si kupitia maelezo na habari za kichochezi za maadui, bali kupitia mawasiliano, mazungumzo na maingiliano. Yanapasa kufahamu suhula na uwezo wa kila mmoja na kupanga mipango ya kufaidika nao.
-
Umaskini na Ukosefu wa Makazi nchini Marekani
Jun 10, 2023 13:35Miji ya Marekani ambayo ina taswira ya kuvutia na iliyojaa anasa wakati unapoangalia kutoka kwa mbali, inakabiliwa na ukweli mchungu wa uozo wa kimaadili na ukosefu wa makazi unapoingia ndani na kuangalia kwa karibu.
-
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Hujuma Dhidi ya Uislamu
May 23, 2023 10:59Kwa Waislamu wote duniani, haswa Waislamu wa New Zealand, tarehe 15 Machi ni siku chungu na isiyoweza kusahaulika.
-
Ukatili wa silaha za moto katika shule za Marekani na kimya cha wabunge
May 23, 2023 09:54Ukatili wa kutumia silaha katika shule za Marekani, ambao mbali na kusababisha idadi kubwa ya vifo na majeruhi miongoni mwa watoto na vijana, vilevile umeibua hofu na wasiwasi kwa wanafunzi na wazazi wao, na unatambuliwa kuwa tatizo kubwa katika sekta ya elimu nchini humo.
-
Siku ya Mwalimu, kumbukumbu ya kuuawa shahidi Ayatullah Murtadha Mutahhari
May 23, 2023 07:31Tarehe 12 Ordibehesht kwa mwaka wa Hijria Shamsia (Mei Pili) ni siku ya kumbukumbu ya kuuliwa shahidi mwalimu mahiri na hodari, Ayatullah Murtadha Mutahhari, ambaye siku ya kuuliwa kwake inatambuliwa kuwa ni siku ya kumuenzi na kumpa heshima maalumu mwalimu nchini Iran.