-
Ijumaa tarehe 31 Januari 2025
Jan 31, 2025 02:21Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Shaaban 1446 Hijria sawa na 31 Januari 2025 Milaadia.
-
Mapinduzi ya Iran; Muujiza wa Mwenyezi Mungu
Feb 07, 2023 11:20Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na katika kipindi kingine maalumu katika mfululizo wa vipindi vya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyopita ushindi 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini MA.
-
Alfajiri Kumi; Mapinduzi ya Kiislamu na mafanikio ya kiuchumi
Feb 06, 2023 10:55Katika kipindi cha leo, tutaangalia kwa kifupi mafanikio ya kiuchumi yaliyopatikana nchini Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, na hasa katika uwanja wa nishati.
-
Nafasi ya Utawala wa Faqihi katika Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2023 12:34Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 44 wa ushidi wa Mapinduzi ya Kiislau ya nchini Iran.
-
Afajiri Kumi, Mja Mwema
Feb 02, 2023 12:30Tunakaribia Afajiri Kumi za mwaka wa 44 wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Tumekutayarishieni vipindi kadhaa maalumu kwa mnasaba huu ambavyo tunatumai vitakunufaisheni nyote wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, karibuni.
-
Jumanne, Februari 2, 2021
Feb 02, 2021 02:58Leo Jumanne tarehe 19 Mfunguo Tisa Jamadithani 1442 Hijria mwafaka na tarehe Februari Pili 2021 Miladia.
-
Imam Khomeini, Kiongozi Kipenzi
Feb 01, 2021 05:48Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Karibuni katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran.
-
Jumapili, Januari 31, 2021
Jan 31, 2021 02:53Leo ni Jumapili tarehe 17 Mfunguo Tisa Jamadithani 1442 Hijria mwafaka na tarehe 31 Januari 2021 Miladia.
-
Nuru ya Imani katika Mwamko wa Imam Khomeini MA
Feb 13, 2020 06:21Hamjambo wapenzi wasikilizake na karibuni kujiunga nami katika makala hii tuliyokutayarishieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ambapo leo tutaangazia namna fikra za Imam Khomeini MA, zilivyoweza kuenea na kuwavutia wasomi wengi duniani.
-
Mafanikio ya Iran katika uga wa sayansi na teknolojia baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 09, 2020 08:07Iran wiki hii inaadhimisha mwaka wa 41 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na katika kipindi cha miongo minne iliyopita, kati ya mafanikio makubwa ambayo yameweza kupatikana ni ustawi wa kasi katika uga wa sayansi na teknolojia.