-
Aya na Hadithi (18)
Apr 17, 2018 09:46Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Karibuni kusikilizaji sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Aya na Hadithi.
-
Aya na Hadithi (17)
Apr 17, 2018 09:21Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Hii ni sehemu ya 17 ya kipindi hiki cha Aya na Hadithi ambapo kwa leo tutajadili na kupitia maandiko matakatifu yanayotufahamisha lengo kuu la kuumbwa kwetu wanadamu humu duniani na faida tutakazopata ikiwa tutafikia lengo hilo.
-
Aya na Hadithi (16)
Apr 17, 2018 09:16Assalaamu Alaykum wapezi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Aya na Hadithi (15)
Apr 17, 2018 09:11Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi kingine cha Aya na Hadithi. Hakuna shaka kwamba kila mmoja wetu anapenda usomaji wake wa Kitabu Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu uwe ni usomoji bora zaidi na unaostahiki kwa sababu tumemsikia Mwenyezi Mungu Mtukufu mwenyewe akiwasifu na kuwataja kwa wema wale wanaosoma vyema kama inavyostahiki kusomwa na kukipa haki Kitabu chake hicho.
-
Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (16)
Mar 07, 2018 11:51Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi la umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Suala ambalo kutokana na kipindi ambacho Ulimwengu wa Kiislamu unakipita hivi sasa umuhimu wake unahisika zaidi wakati huu pengine kuliko wakati mwengine wowote ule. Endeleeni basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya 16.
-
Aya na Hadithi (14)
Mar 06, 2018 11:19Assalaam Aleikum wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tuna furaha kukutana nanyi tena katika sehemu hii ya 14 ya kipindi hiki cha Aya na Hadithi, ambayo itazungumzia Aya takatifu na Hadithi tukufu ambazo zinamtahadharisha mwanadamu dhidi ya kujishughulisha na mambo yanayompelekea kumsahau Muumba wake na matokeo mabaya ya jambo hilo.
-
Aya na Hadithi (13)
Mar 06, 2018 11:15Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Hii ni sehemu ya 13 ya kipindi hiki cha Aya na Hadithi ambapo kwa leo tutazungumzia baadhi ya maandiko matakatifu ambayo yanatuongoza kutambua baadhi ya miungu hatari na ya uongo inayomchuikiza zaidi Mwenyezi Mungu Mtukufu.
-
Aya na Hadithi (12)
Mar 05, 2018 07:17Assalaam Aleikum wapezi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhruri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Aya na Hadithi (11)
Mar 05, 2018 07:15Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tuko pamoja nanyi katika kipindi kingine cha Aya na Hadithi ambapo leo bado tutaendelea kuzungumzia Hadithi ambazo zinatuongoza katika kufahamu maana halisi ya neema ambayo imezungumziwa na Mwenyezi Mungu katika Aya ya mwisho ya Surat At-Takaathur ambapo wanadamu wote wataulizwa Siku ya Kiama kuhusiana na neema hii muhimu.
-
Aya na Hadithi (10)
Mar 05, 2018 07:12Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kukutana nanyi tena katika sehemu hii ya 10 ya mfululizo wa vipindi vya Aya na Hadithi.