-
Uchaguzi na umoja wa kitaifa nchini Iran
Mar 04, 2024 13:27Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio makala yetu ya wiki ambayo itaangazia uchaguzi na umoja wa kitaifa nchini Iran.
-
Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu (1)
Nov 19, 2023 06:33Katika kikao chake na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na mabalozi wa nchi za Kiislamu tarehe 18 Februari mwaka huu, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran alisema suala la Palestina ni moja ya masuala muhimu zaidi ya ulimwengu wa Kiislamu. Alisema hali ya kusikitisha na kuhuzunisha ya hivi sasa huko Palestina ni matokeo ya kupuuzwa suala hilo na baadhi ya nchi za Kiislamu.
-
Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 11, 2023 11:54Karibuni kutegea sikio kipindi cha juma hili cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia Palestina kama mhimili wa umoja baina ya Waislamu wote.
-
Jumamosi, 15 Julai, 2023
Jul 15, 2023 02:47Leo ni Jumamosi tarehe 26 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1444 Hijria mwafaka na tarehe 15 Julai 2023 Miladia.
-
Jumapili, tarehe 4 Juni, 2023
Jun 04, 2023 01:27Leo ni Jumapili tarehe 15 Dhulqaada 1444 Hijria sawa na Juni 4 mwaka 2023.
-
Nafasi ya Utawala wa Faqihi katika Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2023 12:34Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 44 wa ushidi wa Mapinduzi ya Kiislau ya nchini Iran.
-
Hamasa ya tarehe 9 Dei; Siku ya Ung'amuzi na Muono wa Mbali
Dec 31, 2022 08:22Tarehe 9 Dei mwaka 1388 Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe 30 Disemba 2009, mamilioni ya wananchi wa Tehran na miji mingine hapa nchini walifanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko ya barabarani na himaya ya madola ya Magharibi kwa machafuko hayo.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (2-Kuigawa Iran, lengo kuu la kistratijia la maadui)
Oct 19, 2022 08:57Moja ya malengo ya kistratijia ya maadui wa Mapinduzi ya Kiislamu tangu ushindi wa mapinduzi hayo Februari 1979 limekuwa ni kuuangusha mfumo wa Kiislamu na kuigawa Iran.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (nafasi ya vijana katika ushindi na kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu)
Oct 15, 2022 11:57Matukio na machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamewapa maadui wa Iran fursa ya kuzidisha hujuma za kipropaganda na kisiasa na kutoa tathmini za kupotosha na kupindua hakika na ukweli wa mambo.
-
Uhusiano wa Umoja na ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu (Wiki ya Umoja wa Kiislamu)
Oct 11, 2022 06:52Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema moja ya malengo ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ni kuunda ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu na kuwa lengo hilo haliwezi kufikiwa ila kwa kuwepo umoja wa Shia na Sunni.