-
Jumatano, tarehe 14 Januari, 2026
Jan 13, 2026 23:05Leo ni Jumatano tarehe 24 Rajab 1447 Hijria sawa na Januari 14 mwaka 2026.
-
Jumatatu tarehe 6 Mei, 2024
May 05, 2024 23:01Leo ni Jumatatu tarehe 27 Mfunguo Mosi Shawwal 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 6 Mei 2024.
-
Jumapili, 24 Machi, 2024
Mar 23, 2024 22:56Leo ni Jumapili 13 Ramadhani 1445 Hijria mwafaka na 24 Machi 2024.
-
Jumapili, 19 Novemba, 2023
Nov 18, 2023 23:01Leo ni Jumapili tarehe 5 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1445 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 19 Novemba 2023 Miladia.
-
Jumapili, 29 Januari, 2023
Jan 28, 2023 23:04Leo ni Jumapili tarehe 7 Rajab, 1444 Hijria sawa na tarehe 29 Januari, 2023 Miladia
-
Jumanne tarehe 15 Februari 2022
Feb 14, 2022 22:50Leo ni Jumanne tarehe 13 Rajab 1443 Hijria inayosadifiana na Februari 15 mwaka 2022.
-
Jumatatu tarehe 13 Septemba 2021
Sep 12, 2021 21:56Leo ni Jumatatu tarehe 6 Safar 1443 Hujria sawa na Septemba 13 mwaka 2021.
-
Jumanne tarehe 9 Februari 2021
Feb 09, 2021 00:41leo ni Jumanne tarehe 26 Jamadithani 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 9 Februari mwaka 2021.
-
Ruwaza Njema (12)
Feb 06, 2019 10:52Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya 12 katika mfululizo wa vipindi hivi vya Ruwaza Njema.
-
Ruwaza Njema (11)
Feb 06, 2019 10:47Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 11 ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambapo kwa leo tutazungumzia sifa njema ya Mtume Mtukufu (saw) ambaye ni mbora wa viumbe, ya kusamehe watu na kuwaongoza kwenye heri kuu, hata tunapokuwa na uwezo wa kulipiza kisasi kwa mabaya waliyotufanyia.