-
Ijumaa, Julai 12, 2024
Jul 12, 2024 03:00Leo ni Ijumaa tarehe 06 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria sawa na Julai 12 mwaka 2024.
-
Jumatatu, 08 Julai, 2024
Jul 08, 2024 04:34Leo ni Jumatatu tarehe Pili Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria, mwafaka na tarehe 8 Julai 2024.
-
Jumamosi, 15 Juni, 2024
Jun 18, 2024 10:33Leo ni Jumamosi 8 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1445 Hijria mwafaka na 15 Juni 2024 Miladia.
-
Mahakama ya Nigeria yatoa hukumu dhidi ya Polisi kwa kushambulia matembezi ya Ashura
May 01, 2024 10:53Mahakama Kuu ya Shirikisho ya Nigeria katika Jimbo la Kaduna imetoa hukumu dhidi ya Polisi ya nchi hiyo kwa kushambulia waumini katika matembezi ya amani ya Siku ya Ashura yaliyofanyika katika mji wa Zaria.
-
Jumanne, tarehe 13 Febuari, 2024
Feb 13, 2024 07:19Leo ni Jumanne tarehe 3 Shaaban 1445 Hijria sawa na tarehe 13 Februari 2024.
-
Gavana wa Karbala: Mazuwari wa Arubaini mwaka huu kupindukia milioni 30
Sep 05, 2023 12:18Gavana wa jiji la Karbala nchini Iraq amesema mji huo mtakatifu utapokea wafanyaziara zaidi ya milioni 30 katika Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
-
Nchi 65 zashiriki kongamano la kuiunga mkono Palestina katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq
Aug 29, 2023 06:55Mkutano wa kimataifa wenye anuani ya Wito wa Al-Aqsa umefanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq, kwa kuhudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 65 duniani.
-
Mamilioni ya wafuasi wa Ahlulbait washiriki maombolezo ya Imam Hussein (AS) Siku ya Ashura
Jul 28, 2023 14:45Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo wameshiriki shughuli ya siku ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS).
-
Waislamu Uganda wafanya matembezi kuadhimisha Ashura ya Imam Hussein AS
Jul 28, 2023 12:21Waislamu wa medhehebu ya Shia na wapenzi wa Imam Hussein AS huko Uganda wamefanya matembezi ya amani mashariki mwa nchi hiyo, kwa mnasaba wa maombolezo ya Ashura ya Bwana huyo wa Mashahidi.
-
Nasrullah: Wimbi la Muqawama katika eneo lingali liko hai
Jul 28, 2023 08:06Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema katika hotuba aliyotoa usiku wa Ashura ya Imamu Hussein mjini Beirut kuwa: Tajiriba ya Muqawama nchini Lebanon imeonyesha kuwa wimbi la muqawama katika eneo lingali liko hai.