-
Makundi ya mapambano ya Palestina yataka kushadidishwa Intifadha ya Quds
Apr 20, 2016 23:19Makundi ya mapambano ya Palestina yametoa wito wa kushadidishwa Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ban asema Israel inavuruga mpango wa amani
Apr 19, 2016 10:57Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekosoa vikali hatua ya Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Wazayuni kadhaa wajeruhiwa karika mripuko wa bomu Quds
Apr 18, 2016 12:24Habari kutoka Palestina inayokaliwa kwa mabavu zinasema kuwa, Wazayuni karibu 20 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu katika basi moja huko Quds.
-
Maandamano ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Apr 15, 2016 23:42Wapalestina wa maeneo tofauti ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wamefanya maandamano makubwa ya kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Intifadha ya Quds yamtia kiwewe Netanyahu
Apr 10, 2016 10:42Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel ameshindwa kuficha wasiwasi wake kutokana na Wapalestina kuendeleza Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni
-
Wapalestina walaani Israel kumkamata Imam wa Masjid Al Aqsa
Apr 09, 2016 22:35Wapalestina wameendelea kulaani vikali hatua ya wanajeshi wa Israel kumkamata Imam na Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
UN yapinga maonyesho ya kipropaganda ya Israel
Apr 03, 2016 23:08Umoja wa Mataifa umepinga maonyesho ya picha za kipropaganda za utawala wa Kizayuni wa Israel katika makao makuu ya umoja huo mjini New York.
-
Israel imeua watoto 50 Wapalestina tokea Oktoba
Mar 28, 2016 02:34Wanajeshi wa Utawala haramu wa Israel wameua watoto 50 Wapalestina tokea Oktoba mwaka jana, wakati ilipoanza Intifadha au mwamko mpya wa Palestina.
-
Israel yaendeleza ukatili wake, yaua shahidi Wapalestina 2
Mar 24, 2016 10:36Askari wa utawala wa kizayuni wa Israel wameua shahidi Wapestina wawili kwa kuwafyatulia risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wapalestina wengine wawili wauawa shahidi na jeshi la Israel
Mar 17, 2016 10:30Jeshi katili la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi vijana wawili wa Kipalestina, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.