-
Akhlaqi Katika Uislamu (3)
Nov 06, 2022 11:18Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya tatu ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu ya leo ambayo yataangazia baadhi ya misingi ya kifikra ya akhlaqi katika Uislamu.
-
Imam Jaafar Sadiq AS alisisitiza umoja wa Waislamu
Oct 13, 2022 16:33Imam Ja'far Swadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW alizaliwa mwaka 83 Hijria katika mji mtakatifu wa Madina na kulelewa na baba yake mtukufu Imam Muhammad Baqir AS pamoja na mama yake mtoharifu.
-
Mtume Muhammad SAW alileta uhai mpya
Oct 13, 2022 16:31Waislamu duniani wanasherehekea Maulidi na kukumbuka tukio la kuzaliwa Mbora wa Walimwengu, Muhammad Mwaminifu SAW. Ni fusa muafaka ya kutafakari kuhusu umoja wa Waislamu duniani.
-
Umoja katika Hadithi za Mtume wa Rehma
Oct 13, 2022 08:04Bismillahil Rahmanil Rahim. Kwa jina la Mungu wa Muhammad (SAW) ambaye ametubariki na akatutambulisha Mtume wake, akateremsha Qur'ani kwake ili iwe hidaya na mwongozo kwa ajili ya wanaadamu wote.
-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Oct 10, 2022 07:44Siku hizi za mwezi wa Mfunguo Sita Rabiu Awwal ni fursa adhimu kwa Waislamu kote duniani kupitia tena Aya zinazohusiana na umoja na mshikamano wa Waislamu katika Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume wetu Muhammad (saw) ambaye kwa mujibu wa riwaya na mapokezi mawili tofauti ya wanazuoni na wanahistoria, alizaliwa ama tarehe 12 au 17 ya mwezi huu.
-
Umuhimu wa Umoja (kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja)
Oct 09, 2022 12:22Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika kipindi hiki cha kwanza cha mfululizo wa makala maalumu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu zinazokujieni kwa mnasaba wa sherehe za Maulidi na tukio muhimu la kuzaliwa mbora wa viumbe Mtume Muhammad (saw) katika mwezi huu wa Mfunguo Sita.
-
Jumapili, 09 Oktoba, 2022
Oct 09, 2022 02:21Leo ni Jumapili tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe 9 Oktoba 2022 Miladia.
-
Alkhamisi tarehe 29 Septemba 2022
Sep 29, 2022 02:29Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe 29 Septemba 2022.
-
Ayatullah Khatami: Maadui wanataka kudhoofisha umoja wa Waislamu
Jul 08, 2022 11:02Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa Tehran amesema maadui wanafanya juu chini kupunguza na kudhoofisha umoja wa umma wa Kiislamu kwa kutumia mbinu mbalimbali.
-
Ansarullah: Kumvunjia heshima Mtume SAW ni kufilisika kimaadili
Jun 06, 2022 10:13Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW ni ishara ya wazi ya kufilisika kimaadili.