Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Upinzani DRC wamtaka Tshisekedi kuachana na mpango wa kubadili katiba

    Upinzani DRC wamtaka Tshisekedi kuachana na mpango wa kubadili katiba

    Aug 25, 2026 11:26

    Kiongozi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amemtaka Rais Felix Tshisekedi kuachana na mapendekezo ya kufanyia marekebisho katiba ambayo wapinzani wanahofia yanaweza kutoa mwanya kwa rais huyo kugombea muhula wa tatu wa urais.

  • Rais wa Zambia aahidi kukuza uchumi baada ya kushinda uchaguzi

    Rais wa Zambia aahidi kukuza uchumi baada ya kushinda uchaguzi

    Aug 19, 2026 10:49

    Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amesema kuwa atatumia muhula wake mpya kukuza uchumi wa nchi hiyo na kuandaa fursa zaidi kwa wananchi ili kupunguza gharama za maisha.

  • Mwanasheria Mkuu Kenya akosa kujibu iwapo waliotimuliwa afisini wanaweza kuwania urais au la

    Mwanasheria Mkuu Kenya akosa kujibu iwapo waliotimuliwa afisini wanaweza kuwania urais au la

    Aug 19, 2026 09:38

    Mvutano wa kisheria kuhusu iwapo viongozi waliotimuliwa afisini kupitia Bunge wanaweza kugombea nyadhifa za kisiasa kabla ya kesi zao kukamilika bado utaendelea kutokota nchini Kenya.

  • Hichilema ashinda uchaguzi wa rais wa Zambia kwa asilimia 60 ya kura

    Hichilema ashinda uchaguzi wa rais wa Zambia kwa asilimia 60 ya kura

    Aug 18, 2026 03:23

    Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kwa takriban asilimia 60 ya kura zilizopigwa wiki iliyopita. Hayo yametangazwa mapema leo Jumanne na Tume ya Uchaguzi ya Zambia.

  • Tel Aviv inawakera hata washirika wake, Ufaransa yalituhumu shirika la Israel kuingia mambo ya ndani ya nchi hiyo

    Tel Aviv inawakera hata washirika wake, Ufaransa yalituhumu shirika la Israel kuingia mambo ya ndani ya nchi hiyo

    Jun 16, 2026 02:52

    Baada ya takriban mwezi mmoja wa uchunguzi rasmi, Paris imeituhumu kampuni ya Israel kwa kuingilia uchaguzi uliopita nchini Ufaransa, na imetaka maelezo kutoka Tel Aviv kuhusu suala hilo.

  • Uchaguzi mkuu Ethiopia; Abiy Ahmed anatarajiwa kushinda tena kiti cha Waziri Mkuu

    Uchaguzi mkuu Ethiopia; Abiy Ahmed anatarajiwa kushinda tena kiti cha Waziri Mkuu

    Jun 01, 2026 02:42

    Uchaguzi mkuu wa Ethiopia unatarajiwa kufanyika Jumatatu hii huku migogoro ikiendelea katika baadhi ya maeneo ya nchi, ikimaanisha kuwa watu wengi hawataweza kupiga kura.

  • Rwanda yachapisha orodha ya mwisho ya wagombea 3 wa urais na zaidi ya wagombea 500 wa ubunge

    Rwanda yachapisha orodha ya mwisho ya wagombea 3 wa urais na zaidi ya wagombea 500 wa ubunge

    Jun 16, 2024 02:41

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda imetangtaza orodha ya mwisho ya wagombeaji wa uchaguzi wa rais na wabunge uliopangwa kufanyika mwezi ujao.

  • Maelfu waandamana Kongo DR kupinga mashine za kielektroniki za kura

    Maelfu waandamana Kongo DR kupinga mashine za kielektroniki za kura

    Oct 26, 2018 11:03

    Maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano hii leo katika mji mkuu Kinshasa na miji mingine mikuu ya nchi hiyo wakitaka kutotumika mashine za kupiga kura kwa njia ya kielektroniki, huku wakisisitiza kuwa mashine hizo huenda zikapelekea kuibiwa kura.

  • Wagombea wenye chuki na Uislamu wameongezeka sana wakati wa urais wa Trump

    Wagombea wenye chuki na Uislamu wameongezeka sana wakati wa urais wa Trump

    Oct 22, 2018 23:31

    Uchunguzi mpya ambao ripoti yake imetolewa hivi karibuni unaonesha kuwa, kadiri muda wa uchaguzi mdogo wa bunge la Marekani unavyokaribia ndivyo wagombea wenye chuki na Uislamu wanavyozidi kujitokeza.

  • Matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Cameroon kutangazwa leo

    Matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Cameroon kutangazwa leo

    Oct 21, 2018 19:49

    Matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais uliofanyika Oktoba 7 nchini Cameroon yanatazamiwa kutolewa leo Jumatatu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS