-
Polisi ya Kenya yatumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya wafuasi wa NASA
Oct 06, 2017 11:39Polisi nchini Kenya wamelazimika kutumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuwatawanya wafuasi wa muungano wa upinzani NASA walioandamana katika miji ya Nairobi na Kisumu kushinikiza mabadiliko katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC.
-
UN yajitosa katika uchaguzi wa marudio Kenya, wapinzani kuandamana dhidi ya IEBC
Sep 26, 2017 04:20Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini mkataba na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) kuhusu zabuni ya karatasi za kupigia kura kwa ajili ya uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.
-
DPP wa Kenya aagiza uchunguzi dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa IEBC
Sep 24, 2017 11:03Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma nchini Kenya (DPP), Keriako Tobiko ameagiza polisi na Kamisheni ya Maadili ya Kupambana na Ufisadi EACC kuanzisha uchunguzi dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Tume ya Uchaguzi nchini humo, kutokana na kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi wa mwezi uliopita.
-
Tarehe ya uchaguzi wa marudio Kenya yasogezwa mbele
Sep 22, 2017 04:22Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imebadilisha tarehe ya kufanyika uchaguzi wa marudio wa urais hadi Oktoba 26 mwaka huu na wala sio Oktoba 17 kama ilivyotangaza hapo awali.
-
Mahakama ya Juu Kenya yatoa ufafanuzi wa kubatilisha uchaguzi wa urais
Sep 20, 2017 09:47Mahakama ya Juu nchini Kenya imesema haijuti kuchukua uamuzi wa kubatilisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 8 mwaka huu, huku ikiilaumu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC kwa kuendesha zoezi hilo kinyume cha sheria.
-
Ikwani: Hatutatambua rasmi chaguzi zote za Misri
Sep 19, 2017 23:23Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri imetangaza kuwa haitatambua rasmi uchaguzi wowote ule utakaofanyika nchini humo.
-
Vyama vya upinzani Angola vyaenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi
Sep 09, 2017 03:27Vyama vitatu vya upinzani nchini Angola vimewasilisha malalamiko mahakamani dhidi ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo hivi karibuni, ambapo chama tawala cha MPLA kilitangazwa kuibuka mshindi.
-
Odinga: Nitashiriki uchaguzi wa marudio Kenya kwa masharti
Sep 05, 2017 09:29Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema muungano wa upinzani wa NASA hautashiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Oktoba 17 iwapo masharti waliyoyatoa hayatatekelezwa.
-
AU yapongeza uamuzi wa mahakama ya juu Kenya kubatilisha uchaguzi wa rais
Sep 04, 2017 22:07Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika AU amekaribisha uamuzi wa mahakama ya juu nchini Kenya wa kufuta matokeo ya uchaguzi wa rais nchini humo.
-
Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Kenya na ishara za kukomaa demokrasia
Sep 02, 2017 05:24Mahakama ya Juu ya Kenya imetengua matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita nchini humo na kumpa ushindi Rais wa sasa wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta.