Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Upinzani Zimbabwe wajiweka sawa ili kumbwaga Mugabe 2018

    Upinzani Zimbabwe wajiweka sawa ili kumbwaga Mugabe 2018

    Aug 06, 2017 02:34

    Kinara wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai ametangaza kuungana na wapambe wake wa zamani kwa shabaha ya kuunda muungano mmoja wenye nguvu ili waweze kumundoa madarakani Rais Robert Mugabe katika uchaguzi mkuu mwakani.

  • Kenya yamtimua mtaalamu wa data za uchaguzi wa Marekani, alifanya kazi na NASA

    Kenya yamtimua mtaalamu wa data za uchaguzi wa Marekani, alifanya kazi na NASA

    Aug 05, 2017 09:58

    Polisi ya Kenya uimemtia nguvuni na kumtimua nchini humo mtaalamu wa data za uchaguzi wa Marekani na mwenzake wa Canada waliokuwa wakifanya kazi na muungano wa upinzani wa Nasa, zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 8.

  • Wanyarwanda wamkabidhi tena Paul Kagame usukani wa kuongoza nchi yao

    Wanyarwanda wamkabidhi tena Paul Kagame usukani wa kuongoza nchi yao

    Aug 05, 2017 08:32

    Paul Kagame, Rais wa sasa wa Rwanda amechaguliwa tena kuiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka saba baada ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika jana kote nchini humo.

  • AU: Wakenya wanataka uchaguzi huru, wa haki na wenye uwazi

    AU: Wakenya wanataka uchaguzi huru, wa haki na wenye uwazi

    Aug 05, 2017 03:41

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini ambaye anaongoza timu ya waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika AU nchini Kenya amesema wananchi wa taifa hilo la Afrika Mashariki wanataka kuona zoezi hilo la Jumanne ijayo linafanyika katika mazingira huru, yenye haki na uwazi.

  • Rais Kagame ahifadhi kiti chake katika uchaguzi wa Rwanda

    Rais Kagame ahifadhi kiti chake katika uchaguzi wa Rwanda

    Aug 04, 2017 23:15

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Rwanda yameonyesha kuwa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo amehifadhi kiti chake baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo uliofanyika jana Ijumaa.

  • Wanyarwanda wanamchagua rais mpya leo

    Wanyarwanda wanamchagua rais mpya leo

    Aug 04, 2017 00:19

    Raia wa Rwanda leo wanaelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais mpya wa nchi hiyo. Watu wanaokadiriwa kuwa milioni 6.8 wanatarajiwa kushiriki katika zoezi hilo ambalo lilianza jana kwa kupiga kura wanyarwanda wanaoishi nje ya nchi.

  • Al-Shabaab washadidisha hujuma kabla ya uchaguzi, waua watu 4 Kenya

    Al-Shabaab washadidisha hujuma kabla ya uchaguzi, waua watu 4 Kenya

    Aug 03, 2017 02:52

    Huku uchaguzi mkuu wa Agosti 8 ukizidi kujongea nchini Kenya, kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab linaonekana kushadidisha mashambulizi yake dhidi ya raia na maafisa usalama wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

  • Wapinzani waandamana Guinea Conakry juu ya uchaguzi, usalama

    Wapinzani waandamana Guinea Conakry juu ya uchaguzi, usalama

    Aug 03, 2017 02:49

    Maelfu ya wafuasi wa kambi ya upinzani huko Guinea Conakry wamefanya maandamano katika mji mkuu Conakry kulalamikia ucheleweshwaji wa uchaguzi sambamba na kuzidi kuwa mbaya hali ya usalama nchini humo.

  • Hali ya wasiwasi yashtadi katika kukaribia uchaguzi mkuu Kenya

    Hali ya wasiwasi yashtadi katika kukaribia uchaguzi mkuu Kenya

    Aug 02, 2017 09:57

    Hali ya wasiwasi imeongezeka huko Kenya ikiwa zimesalia siku chache hadi kufanyika uchaguzi mkuu nchini humo tarehe 8 Agosti.

  • Ushindi wa chama tawala nchini Senegal katika uchaguzi wa Bunge

    Ushindi wa chama tawala nchini Senegal katika uchaguzi wa Bunge

    Aug 01, 2017 08:50

    Chama tawala nchini Senegal kimejipatia ushindi katika uchaguzi wa Bunge uliofanyika Jumapili iliyopita na hivyo kudhibiti wingi wa viti katika Bunge la nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS