-
Sarraj: Uchaguzi hauwezi kufanyika Libya katika mazingira ya sasa
Sep 12, 2018 09:40Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema ni muhali kufanyika uchaguzi nchini humo katika mazingira ya hivi sasa.
-
Tume ya Uchaguzi DRC yamzuia Bemba kugombea urais
Aug 25, 2018 02:15Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENI) imemzuia mpinzani Jean-Pierre Bemba kugombea urais katika uchaguzi ujao wa rais.
-
Kambi ya upinzani Mali yapinga matokeo ya uchaguzi wa rais
Aug 16, 2018 23:38Kambi ya upinzani nchini Mali imepinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa jana na kumpa ushindi Rais wa nchi hiyo, Ibrahim Boubacar Keïta.
-
Kuteuliwa Ramazani Shadary kumrithi rais Kabila kunaweza kuakhirisha uchaguzi Kongo DR
Aug 09, 2018 03:32Wasiwasi wa kuahirishwa uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeongezeka zaidi, siku moja tu baada ya chama tawala cha Rais Joseph Kabila kumtangaza Emmanuel Ramazani Shadary kuwa mbeba bendera ya chama hicho pamoja na vyama tanzu katika uchaguzi huo.
-
Kiongozi wa upinzani Mali alalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais
Aug 06, 2018 03:35Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Mali amelalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais na ameamua kupeleka mashtaka mahakamani.
-
Upinzani, fujo na machafuko yaendelea baada ya uchaguzi nchini Zimbabwe.
Aug 04, 2018 11:21Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe ameyakataa matokeo ya uchaguzi wa rais akisema ni ya "uongo".
-
Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq
Aug 03, 2018 20:55Marekani imeyataarifa makundi mbalimbali ya Iraq kwamba Haider al-Abadi ndiye chaguo la Washington kwa ajili ya nafasi ya Waziri Mkuu mpya wa Iraq.
-
Bemba kurejea nyumbani Kongo DR wiki ijayo kuwania urais
Jul 24, 2018 20:50Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye mwezi Mei mwaka huu aliondolewa mashitaka na kuachiwa huru na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), anatazamiwa kurejea DRC wiki ijayo.
-
UN: Wapiga kura wanatishiwa Zimbabwe kuelekea uchaguzi mkuu
Jul 24, 2018 11:54Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea wasiwasi mkubwa ilionao kuhusu kukithiri visa vya wapiga kura kutishiwa maisha nchini Zimbabwe, baadhi yao wakilazimishwa kushiriki mikutano wa kisiasa, zikiwa zimesalia siku chache wananchi waelekee katika masanduku ya kupigia kura kuwachagua viongozi wao.
-
Rais wa Cameroon Paul Biya kubakia madarakani hadi 2025
Jul 14, 2018 03:21Rais wa Cameroon Paul Biya, ambaye yuko madarakani kwa karibu miaka 36 sasa, ametangaza kuwa atagombea muhula mwingine katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 7 mwaka huu.