-
Safari ya ujumbe wa kiuchumi wa Afghanistan nchini Iran
Nov 05, 2023 09:50Ujumbe wa kiuchumi wa Afganistan umefanya safari nchini Iran kwa madhumuni ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wa pande mbili.
-
Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia: Marekani itashindwa huko Ukraine kama ilivyofeli Afghanistan
Oct 22, 2023 03:20Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia amelaani uungaji mkono na misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine na kusema, mara hii pia Marekani itashindwa na kufeli kama ilivyokuwa huko Afghanistan.
-
Umoja wa Mataifa watoa wito wa kulindwa Mashia nchini Afghanistan
Oct 15, 2023 15:20Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu ametoa wito wa kulindwa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan.
-
Tarehe 7 Oktoba; kumbukumbu ya uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan
Oct 10, 2023 02:36Miaka 22 iliyopita, Marekani iliishambulia nchi ya Afghanistan kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi na kurudisha amani nchini humo, jambo ambalo lilipelekea Waafghani kukabiliwa na matatizo na machungu mengi.
-
Waliofariki katika tetemeko la ardhi nchini Afghanistan wapindukia 320
Oct 08, 2023 07:12Idadi ya watu waliofariki dunia katika tetemeko la ardhi lililotokea jana nchini Afghanistan imepindukia 320.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (82)
Oct 03, 2023 17:36Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu.
-
Taliban yasema itajibu mapigo endapo Pakistan itaishambulia kijeshi Afghanistan
Sep 19, 2023 06:45Katika mjibizo kwa kitisho ilichotoa Pakistan cha kufanya mashambulio ya kijeshi ndani ya ardhi ya Afghanistan, msemaji wa serikali ya Taliban amesema Kabul itajibu mapigo kwa shambulizi lolote litakalofanywa.
-
Mkuu wa majeshi ya Marekani akiri rasmi kuwa wameshindwa katika vita vya Afghanistan
Sep 16, 2023 02:25Mkuu wa majeshi ya Marekani Jenerali Mark Milley amekiri kuwa vita ilivyoanzisha nchi hiyo huko Afghanistan vimeishia kwa kushindwa vikosi vya jeshi hilo.
-
Wasiwasi wa UN juu ya kuwepo na kuongezeka harakati za DAESH (ISIS) nchini Afghanistan
Aug 29, 2023 02:44Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeelezea kwamba linatiwa wasiwasi na kuwepo na kuongezeka kwa shughuli za kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) nchini Afghanistan.
-
Njama za Uingereza za kuzuia uchunguzi kuhusu jinai za wanajeshi wake duniani
Aug 25, 2023 08:04Kwa mujibu wa televisheni ya Sky News, serikali ya Uingereza inatumia vizingizio mbalimbali vya kuzuia uchunguzi kuhusu jinai za wanajeshi wake katika nchi nyingi duniani vikiwemo visingizio vya kiusalama.