-
Kongamano la kwanza la UN kuhusu Albino Afrika kufanyika Tanzania
Jun 15, 2016 23:20Kongamano la kwanza la kikanda linalofadhiliwa na Umoja wa Mataifa la kuzungumzia hatua za kuchukua kwa ajli ya watu walemavu wa ngozi (Albino) linatazamiwa kufanyika kwa muda wa siku tatu katika mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam kuanzia hapo kesho Ijumaa.
-
Mgororo wa njaa wayakumba maeneo ya Ziwa Chad
Jun 14, 2016 09:49Kamati ya Kimataifa ya Shirika la Msalaba Mwekundu imetangaza kuwa watu zaidi ya milioni 9 wa eneo la Ziwa Chad barani Afrika wanahitaji misaada ya dharura ya kibinadamu.
-
Kenya kuwa makao makuu ya Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika Mashariki
Jun 12, 2016 00:00Kenya imeteuliwa kuwa makao makuu ya kanda ya Kituo cha Kuratibu Udhibti wa Magonjwa Afrika, CDC-Africa, ili kufuatilia afya ya umma na changamoto katika nchi za Afrika Mashariki.
-
Dawa zilizopitwa na wakati kutoka Ulaya zahangaisha Waafrika
Jun 06, 2016 23:23Asilimia 42 ya dawa zilizopigwa marufuku katika masoko ya bara Ulaya tangu mwaka 2012, zinauzwa katika nchi za bara Afrika.
-
Sisitizo la kuendeshwa mapambano ya pande zote dhidi ya ugaidi barani Afrika
Jun 05, 2016 06:28Rais wa Senegal amezitolea mwito serikali mbalimbali kushirikiana na kukusanya nguvu na nyezo zote ili kupambana na makundi yenye misimamo ya kufurutu ada.
-
Umoja wa Afrika wakosoa kasi ndogo ya ufungamano barani Afrika
May 30, 2016 03:02Umoja wa Afrika umelalamika kuhusu kasi ndogo ya kuelekea kwenye mafungamano ya bara la Afrika.
-
Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika
May 26, 2016 02:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza azma yake ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na bara la Afrika.
-
Siku ya Afrika inaadhimishwa leo mjini Tehran
May 25, 2016 03:01Sherehe za kuadhimisha Siku ya Afrika zinafanyika leo hapa mjini Tehran katika ofisi ya utafiti wa kisiasa na kimataifa ya Wizara ya Mambo ya Nje.
-
Kirusi hatari cha Zika charipotiwa Afrika kwa mara ya kwanza
May 20, 2016 11:55Kirusi hatari cha Zika kimeripotiwa kuibuka barani Afrika kwa mara ya kwanza katika Visiwa vya Cape Verde magharibi mwa bara hilo.
-
Msalaba Mwekundu: Watu milioni 31 wanahitaji misaada ya dharura kusini mwa Afrika
May 17, 2016 23:03Mashirika ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu yamesema yanahitaji dola milioni 110 za Marekani ili kuzisaidia nchi za kusini mwa Afrika, zinazokabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula na lishe duni iliyosababishwa na ukame.