-
WHO: Uvutaji sigara unahatarisha afya ya watu bilioni 1.2 duniani kote
Jun 01, 2026 02:47Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza takwimu za kutisha na za kusikitisha kuhusu hatari ya uvutaji sigara, kwa mnasaba wa madhimisho ya kila mwaka ya Siku ya Kupiga Vita Tumbaku Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 31.
-
Kisu cha ngariba; Vijana 41 waaga dunia Afrika Kusini wakipashwa tohara
Dec 31, 2025 06:47Takriban vijana 41 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na taratibu 'zisizofaa' za upashaji tohara nchini Afrika Kusini mwezi Novemba na Desemba mwaka huu unaomalizika wa 2025, mamlaka za nchi hiyo zilitangaza hayo jana Jumanne.
-
Mripuko wa homa ya Bonde la Ufa waua watu 33 Senegal, Mauritania
Oct 17, 2025 03:47Watu wasiopungua 33 wamefariki dunia kutokana na homa ya Bonde la Ufa nchini Senegal na Mauritania tangu kuzuka kwa mripuko wa homa hiyo nadra mwishoni mwa Septemba, afisa wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) alisema hayo jana Alkhamisi.
-
Ripoti: Mripuko wa kipindupindu umeua watu 113 nchini Chad
Sep 06, 2025 08:06Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mripuko wa kipindupindu nchini Chad tangu mwezi Julai mwaka huu mpaka sasa imefikia 113.
-
Togo yathibitisha kesi ya kwanza ya ugonjwa wa Mpox
May 17, 2025 07:30Togo imethibitisha kesi ya kwanza ya Mpox nchini humo, Wizara ya Afya na Usafi wa Umma ya nchi hiyo imetangaza katika taarifa.
-
Tanzania yatangaza kumalizika mlipuko wa Marburg
Mar 13, 2025 22:59Tanzania jana Alkhamisi ilitangaza mwisho wa mlipuko wa virusi vya Marburg, kwani hakuna kesi yoyote mpya iliyoripotiwa nchini humo katika kipindi cha siku 42.
-
WHO: Uganda imeripoti kifo kingine cha Ebola
Mar 02, 2025 08:56Shirika la Afya Duniani WHO likinukuu Wizara ya Afya ya Uganda limesema mgonjwa wa pili wa Ebola amefariki dunia katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Rwanda yazindua kampeni ya chanjo ya Marburg
Oct 06, 2024 22:50Rwanda imeanza kutoa dozi za chanjo ya virusi vya Marburg ili kujaribu kudhibiti mripuko wa ugonjwa huo unaofanana na Ebola katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Maambukizo ya ugonjwa wa Mpox yaongezeka nchini Uganda
Sep 15, 2024 03:57Idadi ya wagonjwa nchini Uganda walioambukizwa aina mpya ya virusi vya Mpox imeongezeka hadi 11, huku afisa mkuu wa afya akiripoti kuwa hakuna vifo vilivyosababishwa na maradhi hayo kufikia jana Jumamosi nchini humo.
-
Mripuko wa kipindupindu waua makumi ya watu nchini Nigeria
Jun 20, 2024 23:15Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa kipindupindu katika jimbo la Lagos, kusini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 21.