-
Mlipuko wa ugonjwa wa surua waua watu 70 Samoa
Dec 10, 2019 07:37Umoja wa Mataifa umesema mlipuko wa ugonjwa wa surua (measles) umeua makumi ya watu katika kisiwa cha Samoa kilichoko katika Bahari ya Pacific.
-
WHO: Malaria ingali tishio, yaua mtoto mmoja katika kila dakika 2
Dec 04, 2019 07:12Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema ugonjwa wa malaria ungali tishio kubwa linalowaathiri mamilioni ya watu kila mwaka kote duniani hususan katika nchi za Afrika.
-
Homa ya mapafu (pneumonia) inaua mtoto mmoja katika kila sekunde 39
Nov 12, 2019 08:00Taasisi za afya duniani zimeripoti kuwa, homa ya mapafu (pneumonia) inaua mtoto mmoja katika kila sekunde 39, na kwamba ugonjwa huo uliua watoto laki nane mwaka jana pekee.
-
Uganda yawapa chanjo ya surua na polio watoto milioni 18
Oct 16, 2019 07:32Wizara ya Afya ya Uganda kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani WHO zinatazamiwa kuanza kuwapa chanjo za surua (measles) na ugonjwa wa kupooza (polio) watoto milioni 18 wenye chini ya umri wa miaka 15 nchini humo.
-
Homa ya Dengue yaua watu wanne nchini Tanzania
Jun 21, 2019 14:25Serikali ya Tanzania leo Ijumaa imetoa kauli Bungeni kuhusu homa ya Dengue na kubainisha kwamba, tangu mwezi Januari hadi Juni mwaka huu 2019, watu wanne wamefariki dunia huku maelfu ya wengine wakiwa wameugua ugonjwa huo.
-
WHO: Matumizi ya tumbaku yanaua watu milioni 8 kila mwaka duniani
May 31, 2019 02:29Shirika la Afya Duniani WHO limesema watu zaidi ya milioni nane wanafariki dunia kila mwaka kutokana na matumizi ya tumbaku kote duniani, kutoka milioni saba mwaka 2017.
-
WHO kutangaza karibuni kuwa Afrika imetokomeza ugonjwa wa Polio
May 29, 2019 08:05Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa huenda likatangaza karibuni hivi kuwa bara Afrika halina tena ugonjwa wa kupooza wa Polio.
-
Ugonjwa wa TB waua watu 4,500 kila siku, WHO yaazimia kuutokomoeza
Mar 21, 2019 08:00Ugonjwa wa kifua kikuu au TB huua watu 4,500 kila siku duniani na Shirika la Afya Duniani WHO, limeazimia kutokomeza ugonjwa huo sugu.
-
Homa ya Manjano yaua watu 10 nchini Ethiopia
Nov 06, 2018 08:03Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa watu 10 wamepoteza maisha kutokana na Homa ya Manjano kusini magharibi Ethiopia.
-
Homa ya Lassa imeshaua zaidi ya watu 140 nchini Nigeria
Apr 05, 2018 14:41Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na homa ya Lassa nchini Nigeria imepindukia 140.