-
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Austria: Iran sasa ni dola kubwa lenye ushawishi
Jul 07, 2026 03:25Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Austria amesema, akiashiria nafasi ya ustaarabu wa maelfu ya miaka wa Iran katika historia ya dunia, kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa sasa imegeuka kuwa moja ya mataifa makubwa yenye ushawishi katika ngazi ya kimataifa.
-
Jumatano, 12 Novemba, 2025
Nov 11, 2025 23:02Leo ni Jumatano tarehe 21 Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na 12 Novemba 2025.
-
Alkhamisi tarehe 30 Oktoba 2025
Oct 29, 2025 22:50Leo ni Alkhamisi tarehe 8 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na 30 Oktoba 2025.
-
Jumapili, 10 Agosti 2025
Aug 09, 2025 22:58Leo ni Jumapili 16 Mfunguo Tano Safar 1447 Hijria mwafaka 10 Agosti 2025.
-
Leo Jumatatu, tarehe 28 Julai, mwaka 2025
Jul 27, 2025 23:02Leo ni tarehe tatu Safar 1447 Hijria sana na Julai 28 mwaka 2025.
-
Austria, nchi ya EU yashuhudia ongezeko la wasiojua kusoma, kuandika
Jun 01, 2025 03:35Karibu thuluthi moja ya watu nchini Austria wana uwezo mdogo wa kusoma, jambo linaloashiria ongezeko la kuogofya la watu wasiojua kusoma na kuandika nchini humo, ofisi ya takwimu za serikali ya nchi hiyo ya Umoja wa Ulaya imesema.
-
Jumapili, tarehe 13 Aprili, 2025
Apr 12, 2025 22:45Leo ni Jumapili tarehe 14 Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 13 Aprili mwaka 2025.
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran lazima vifutwe
Mar 05, 2025 03:08Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Masuala ya Kisiasa amesema: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya ambavyo vimewalenga watu wenye utamaduni na ustaarabu mkongwe wa Iran ni lazima viondolewe.
-
Jumatatu, 04 Novemba, 2024
Nov 03, 2024 23:16Leo ni Jumatatu tarehe Pili Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 4 Novemba 2024.
-
Jumamosi, 26 Oktoba, 2024
Oct 25, 2024 23:38Leo ni Jumamosi 22 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na 26 Oktoba 2024.