-
Jumapili, Mei 20, 2018
May 19, 2018 21:51Leo ni Jumapili tarehe nne Ramadhan mwaka 1439 Hijiria, inayosadifiana na tarehe 20 Mei mwaka 2018 Miladia.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-3
Jan 18, 2017 05:08Sehemu ya leo ya makala hii itatupia jicho ukurasa wa tatu wa maisha Ayatullah Rafsanjani baada ya kumalizika vita vya kulazimishwa hadi alipofariki dunia zaidi ya moja moja iliyopita.
-
Rais Rouhani: Ayatullah Rafsanjani alikuwa msaidizi imara wa Kiongozi Muadhamu
Jan 16, 2017 04:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kuaga dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani aliyekuwa Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran, ni msiba mkubwa ambao umepelekea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kupoteza tegemeo lake kubwa."
-
Rais wa Nigeria aomboleza kifo cha Ayatullah Rafsanjani
Jan 14, 2017 03:42Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amemtumia salamu za rambi rambi mwenzake wa Iran kufuatia kuaga dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran.
-
Rouhani: Ushiriki mkubwa wa wananchi mazishi ya Rafsanjani ni alama ya umoja
Jan 13, 2017 11:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ushiriki mkubwa wa wananchi katika mazishi ya Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran ni alama ya umoja na mshikamano.
-
Rais Teshome atoa wito wa kuimarishwa uhusiano wa Ethiopia na Iran
Jan 13, 2017 04:02Rais Mulatu Teshome wa Ethiopia amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa pande mbili kati ya Tehran na Addis Ababa.
-
Jeshi la Lebanon: Ayatullah Rafsanjani alikuwa akihami Lebanon na Palestina
Jan 12, 2017 12:15Kamanda Mkuu wa Jeshi la Lebanon amesema kuwa, marehemu Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran, alikuwa daima akichukua misimamo ya heshima katika kuihami Lebanon na Palestina katika kukabiliana na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-1
Jan 12, 2017 05:40Habari iliyotangazwa saa moja na nusu usiku wa Jumapili tarehe 8 mwezi huu wa Januari kwa wakati wa Tehran iliwatia simanzi na huzuni kubwa mamilioni ya Wairani na wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-1
Jan 12, 2017 05:39Habari iliyotangazwa saa moja na nusu usiku wa Jumapili tarehe 8 mwezi huu wa Januari kwa wakati wa Tehran iliwatia simanzi na huzuni kubwa mamilioni ya Wairani na wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Mkuu wa Baraza la Mamumfti wa Russia apongeza nafasi ya Ayatullah Rasanjani
Jan 12, 2017 03:58Mkuu wa Baraza la Mamufti wa Russia amesisitiza kuwa Ayatullah Hashimi Rafsanjani alikuwa mwanasiasa mkubwa wa Kiislamu na nembo ya uzalendo.