-
Wanajeshi kadhaa wa Nigeria wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Boko Haram
May 01, 2017 13:50Kundi la kigaidi la Boko Haram limefanya shambulio katika kambi moja ya jeshi la Nigeria na kuwaua wanajeshi kadhaa wa nchi hiyo.
-
Mamia ya walimu wauawa katika eneo la Ziwa Chad
May 01, 2017 07:31Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umesema kuwa, walimu 600 wameuawa katika eneo la Ziwa Chad kwenye mashambulizi ya genge la kigaidi la Boko Haram tangu mwaka 2009.
-
Boko Haram lashambulia kijiji na kuteka nyara wasichana huko kaskazini mwa Cameroon
Apr 22, 2017 16:25Duru za habari nchini Cameroon zimearifu kwamba, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram limetekeleza shambulio katika kijiji cha Mbreché, kaskazini mwa nchi hiyo na kuteka nyara wasichana kadhaa wenye umri wa miaka kati ya minane hadi 14.
-
Mamia ya mateka wa Boko Haram wakombolewa Nigeria
Apr 18, 2017 15:34Jeshi la Nigeria limefanikiwa kukomboa mamia ya mateka waliokuwa wakishikiliwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Idadi ya watoto wanaotumiwa katika hujuma za Boko Haram yaongezeka
Apr 12, 2017 07:18Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umeeleza kushtushwa kwake na ongezeko la watoto wadogo kutumiwa katika hujuma za kujitolea muhanga za kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.
-
Boko Haram wapata pigo jingine kubwa nchini Niger
Apr 11, 2017 03:48Afisa mmoja wa masuala ya usalama wa Niger alisema jana kwamba, wanamgambo 57 wa genge la kigaidi la Boko Haram waliuawa Jumapili usiku katika mapigano na wanajeshi wa serikali, kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
UNSC yalaani mashambulizi ya makundi ya Daesh (ISIS) na Boko Haram
Apr 01, 2017 15:54Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani mashambulizi ya kigaidi ya kundi la Boko Haram na Daesh (ISIS) katika eneo la Ziwa Chad, barani Afrika.
-
Mahakama Nigeria yaanza kusikiliza kesi ya kiongozi wa Boko Haram
Mar 15, 2017 04:42Mahakama ya Abuja nchini Nigeria jana ilisikilizi kesi inayomkabili kiongoni mmoja wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la Boko Haram na wenzake kadhaa wanaokabiliwa na tuhuma za kuteka nyara na kuua raia kumi wa nchi za kigeni.
-
Baraza la Usalama la UN lasisitiza mapambano dhidi ya Boko Haram
Mar 08, 2017 06:50Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesisitiza kuwa njia ya kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram ni kustawisha eneo la Ziwa Chad.
-
Rais Issoufou: Zaidi ya wanachama 100 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Niger
Mar 07, 2017 04:48Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, wamejisalimisha kwa jeshi la Niger, katika eneo la Diffa kusini mashariki mwa nchi hiyo.