Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Wanajeshi wanne wa Chad wauawa mpakani na Niger

    Wanajeshi wanne wa Chad wauawa mpakani na Niger

    Aug 27, 2016 23:35

    Wanajeshi wanne wa Chad wameuawa baada ya kuripuka bomu la kutegwa ardhini katika eneo moja la mpakani mwa nchi hiyo na Niger.

  • WFP: Watu milioni 4.5 wanahitaji msaada wa chakula kaskazini mashariki mwa Nigeria

    WFP: Watu milioni 4.5 wanahitaji msaada wa chakula kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Aug 24, 2016 10:21

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa tangu mwezi Machi mwaka huu hadi sasa, idadi ya watu wanaohitaji msaada wa chakula kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka maradufu na kufikia milioni 4.5.

  • Kujisalimisha maelfu ya wanachama wa Boko Haram kwa jeshi la Nigeria

    Kujisalimisha maelfu ya wanachama wa Boko Haram kwa jeshi la Nigeria

    Aug 18, 2016 08:15

    Kanali Rabe Abubakar, Mkurugenzi wa taarifa za ulinzi za jeshi la Nigeria amesema, hivi karibuni wanachama wapatao 8,000 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko wamejisalimisha kwa hiyari yao kwa jeshi la nchi hiyo.

  • Boko Haram watoa mkanda wa video wa wasichana waliowateka nyara Chibok

    Boko Haram watoa mkanda wa video wa wasichana waliowateka nyara Chibok

    Aug 14, 2016 09:24

    Wanamgambo wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram wametoa mkanda mpya wa video unawaonyesha baadhi ya wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo katika mji wa Chibok Nigeria mwaka 2014.

  • Luteni Jenerali Buratai: Boko Haram wanakaribia kushindwa kikamilifu

    Luteni Jenerali Buratai: Boko Haram wanakaribia kushindwa kikamilifu

    Aug 10, 2016 09:37

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Nigeria Tukur Yusuf Buratai amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram linakaribia kushindwa kikamilifu.

  • Radiamali ya kiongozi wa Boko Haram kufuatia kuteuliwa kiongozi mpya na Daesh

    Radiamali ya kiongozi wa Boko Haram kufuatia kuteuliwa kiongozi mpya na Daesh

    Aug 04, 2016 10:36

    Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la nchini Nigeria amesema kuwa wanachama wa kundi hilo hawaafiki kuteuliwa mjumbe yoyote kutoka kundi la Daesh kuwa kiongozi wao.

  • Kamanda wa kikosi cha kupambana na Boko Haram ataka wananchi watoe ushirikiano

    Kamanda wa kikosi cha kupambana na Boko Haram ataka wananchi watoe ushirikiano

    Aug 03, 2016 23:56

    Kamanda wa kikosi cha mataifa kadhaa kinachoendesha operesheni za kijeshi dhidi ya wanamgambo wa Boko Haram amewataka wakazi wa maeneo ya mipaka ya Nigeria, Niger, Chad na Cameroon kutoa ushirikiano kwa vikosi hivyo kwa ajili ya kupambana na wanamgambo hao.

  • UN yatoa wito wa kupambana na Boko Haram

    UN yatoa wito wa kupambana na Boko Haram

    Jul 29, 2016 12:08

    Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameitolea wito kwa jamii ya kimataifa kuunga mkono pakubwa mapambano dhidi ya kundi la Boko Haram.

  • UN: Sababu kuu za tishio la Boko Haram katika Bonde la Ziwa Chad zishughulikiwe

    UN: Sababu kuu za tishio la Boko Haram katika Bonde la Ziwa Chad zishughulikiwe

    Jul 28, 2016 11:02

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, ili kukomesha tishio la Boko Haram katika kanda ya Bonde la Ziwa Chad kuna haja kwa nchi zote zinazoathiriwa na hujuma za kundi hilo kushughulikia sababu kuu zilizochangia kujitokeza kwa kundi hilo zikiwemo za masaibu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya jamii zilizotengwa katika eneo hilo.

  • Operesheni dhidi ya Boko Haram yakabiliwa na uhaba wa mafuta

    Operesheni dhidi ya Boko Haram yakabiliwa na uhaba wa mafuta

    Jul 24, 2016 23:49

    Kamanda Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Nigeria amesema kuwa, uhaba wa mafuta ya ndege za kijeshi kwa sasa ndilo tatizo kuu linaloikabili operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS