Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Magaidi 16 wa  kundi la Boko Haram wauawa na jeshi la Nigeria

    Magaidi 16 wa kundi la Boko Haram wauawa na jeshi la Nigeria

    Jul 10, 2016 07:45

    Vyombo vya usalama vya Nigeria vimetangaza kuwa, magaidi 16 wa kundi la Boko Haram wameuawa na jeshi kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Jeshi Nigeria laangamiza wanachama 10 wa kundi la Boko

    Jeshi Nigeria laangamiza wanachama 10 wa kundi la Boko

    Jun 25, 2016 15:34

    Wanachama kumi wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameuawa kufuatia operesheni ya jeshi la Nigeria katika miji ya Gamboru na Ngala iliyoko katika jimbo la Borno.

  • Nigeria, Chad, Niger  zaanzisha oparesheni ya pamoja dhidi ya Boko Haram

    Nigeria, Chad, Niger zaanzisha oparesheni ya pamoja dhidi ya Boko Haram

    Jun 22, 2016 07:07

    Majeshi ya Nigeria, Niger na Chad yameanzisha oparesheni ya pamoja dhidi ya magaidi wakufurishaji wa Boko Haram.

  • Boko Haram waua watu 4 na kuteka nyara wanawake 3 Chibok, Nigeria

    Boko Haram waua watu 4 na kuteka nyara wanawake 3 Chibok, Nigeria

    Jun 15, 2016 15:36

    Wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wameua wanakijiji wasiopungua wanne na kuwateka nyara wanawake watatu karibu na mji wa Chibok ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria ambako miaka miwili nyuma waliwateka nyara wasichana zaidi ya 200.

  • Ban Ki-moon asisitiza udharura wa kuungwa mkono mapambano dhidi ya Boko Haram

    Ban Ki-moon asisitiza udharura wa kuungwa mkono mapambano dhidi ya Boko Haram

    Jun 14, 2016 14:36

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amezitaka nchi za eneo la katikati mwa Afrika kuwaunga mkono askari jeshi wa mataifa kadhaa yanayoshiriki katika mapambano dhidi ya Boko Haram.

  • Jeshi Nigeria laangamiza Boko Haram

    Jeshi Nigeria laangamiza Boko Haram

    Jun 14, 2016 12:46

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limefanikiwa kusafisha maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo kwa kuangamiza makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Makumi ya wanamgambo wa Boko Haram watiwa nguvuni Nigeria

    Makumi ya wanamgambo wa Boko Haram watiwa nguvuni Nigeria

    Jun 09, 2016 14:08

    Duru za kijeshi za Cameroon zimearifu kuwa makumi ya wanamgambo wa kitakfiri wa Boko Haram wametiwa mbaroni katika oparesheni ya kijeshi iliyofanywa na jeshi la Cameoon kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • 50,000 watoroka Niger kufuatia hujuma za magaidi wa Boko Haram

    50,000 watoroka Niger kufuatia hujuma za magaidi wa Boko Haram

    Jun 08, 2016 03:38

    Melfu ya watu wamekimbia nyumba zao kusini kaskazini mwa Niger kufuatia mfululizo wa mashambulizi toka kwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram walioko mjini Bosso mkoani Diffa.

  • Niger wafanya maandamano kulaani jinai za Boko Haram

    Niger wafanya maandamano kulaani jinai za Boko Haram

    Jun 05, 2016 14:24

    Wananchi wa mji mkuu wa Niger, wamefanya maandamano makubwa ya kutangaza uungaji mkono wao kwa wahanga wa mashambulizi ya hivi karibuni ya genge la kigaidi la Boko Haram.

  • Boko Haram yadhibiti mji wa mpaka na Niger

    Boko Haram yadhibiti mji wa mpaka na Niger

    Jun 04, 2016 08:13

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la Nigeria limeteka na kudhibiti mji wa Bosso, ulioko kusini mashariki mwa mpaka wa Niger.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS