-
Askari wa Kongo washambuliana na wakimbizi wa Burundi, makumi ya wakimbizi wauawa
Sep 16, 2017 09:26Mapigano yamejiri kati ya wakimbizi wa Burundi na askari wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha maafa ya makumi ya wakimbizi na wengine kujeruhiwa.
-
Wakimbizi 300 waanza kurejea Burundi kutoka Tanzania
Sep 07, 2017 03:16Awamu ya kwanza ya wakimbizi wa Burundi wanaorejea kwa hiari kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao leo.
-
Burundi yakanusha ripoti ya UN inayoituhumu kukiuka haki za binadamu
Sep 06, 2017 03:18Serikali ya Burundi imekanusha vikali ripoti iliyotolewa Jumatatu iliyopita na Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, inayoielekezea kidole cha lawama maafisa usalama kwa mauaji, jinai na ukiukaji wa haki za binadamu unaoshuhudiwa nchini humo tangu mwaka 2015.
-
Uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai dhidi ya binadamu nchini Burundi
Sep 05, 2017 09:11Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Burundi, Umoja wa Mataifa umeanzisha uchunguzi kuhusiana na jinai dhidi ya binadamu na vitendo vya utumiaji mabavu vilivyofanywa na viongozi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya raia.
-
Vijana 6 wa Burundi watoweka wakiwa Marekani
Jul 22, 2017 03:24Taarifa kutoka vyombo vya usalama nchini Marekani zinabaini kwamba vijana sita kutoka Burundi waliokuwa wakishiriki katika mashindano ya roboti nchini nchini humo wametoweka na hawajulikani waliko. Taarifa hizo hazijathibitishwa na serikali ya Burundi.
-
Mlipuko wa guruneti waikumba Bujumbura, watu kadhaa wajeruhiwa
Jul 17, 2017 02:14Watu kadhaa wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea Bujumbura mji mkuu wa Burundi.
-
Watu 8 wauawa na 50 kujeruhiwa katika shambulio la guruneti Burundi
Jul 10, 2017 22:39Watu wanane wameuawa na wengine hamsini wamejeruhiwa katika kijiji kimoja mkoani Kayanza kaskazini mwa Burundi juzi jioni. Pierre Nkurikiye Msemaji wa Polisi ya Burundi amesema kuwa watu wanne waliaga dunia papo hapo katika eneo la tukio na wengine wanne walifariki kwa majeraha waliyopata katika shambulio hilo la guruneti.
-
SAUTI, Tume ya Kitaifa ya Haki za Binaadamu Burundi yasema, hali ya kibinaadamu nchini imeboreka sana
Jul 08, 2017 06:02Tume ya kitaifa haki za binaadamu nchini Burundi imesema kuwa, hali ya haki za binaadam imezidi kuboreka siku hadi siku nchini.
-
Rais Nkurunziza wa Burundi apokea vitambulisho vya balozi mpya wa Iran
Jul 01, 2017 23:44Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi amepokea vitmabulisho vya Murtadha Murtadhawi, Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye si mkazi.
-
SAUTI, Michel Kafando: Nimefurahishwa na hatua ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kunikubali kuwa msuluhishi
Jun 29, 2017 12:48Michel Kafando, Mjumbe mpya wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi, amefanya ziara mjini Bujumbura kwa ajili ya kukutana kwa mara ya kwanza na viongozi wa nchi hiyo.