-
Umoja wa Mataifa: Watetezi wa haki za binadamu wanakandamizwa nchini Burundi
Feb 09, 2017 00:58Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na vitendo vya ukandamizaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu huko nchini Burundi.
-
UN Yaikosoa Burundi kwa kupiga marufuku asasi za kiraia
Feb 07, 2017 00:51Jopo la wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa limelaani marufuku na kusimamishwa kwa muda kwa asasi za kiraia, iliyotolewa hivi karibuni na serikali ya Burundi.
-
Kuongezeka mivutano kati ya Umoja wa Ulaya na Burundi
Jan 28, 2017 09:04Hali ya mvutano kati ya Burundi na Umoja wa Ulaya ingali inaendelea na sasa serikali ya Bujumbura imeutuhumu umoja huo kuwa unakiuka mamlaka ya kitaifa ya nchi hiyo.
-
Burundi: Bunge la EU linaongozwa na chuki na limekiuka haki yetu ya kujitawala
Jan 27, 2017 10:37Serikali ya Burundi imesema kuwa, bunge la Umoja wa Ulaya limekiuka haki ya kujitawala taifa hilo.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu njaa na ukame nchini Burundi
Jan 26, 2017 00:11Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu ukame na njaa inayotishia nchi ya Kiafrika ya Burundi.
-
Kuweko maridhiano ya kitaifa Burundi; lengo la mkutano wa wapinzani nchini Ubegiji
Jan 24, 2017 23:27Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Burundi, wapinzani wa serikali ya Bujumbura wamefanya kikao nchini Ubegiji kilichokuwa na lengo la kuandaa mikakati ya pamoja dhidi ya serikali ya Bujumbura.
-
SAUTI: Polisi ya Rwanda yawashikilia Warundi 12 katika magendo ya binaadamu wakati wakienda nchi za Asia kufanya kazi za ndani
Jan 24, 2017 13:52Polisi nchini Rwanda inawashikilia watu 13 kwa kuhusika na vitendo vya magendo ya binaadamu kwenda nchi za Asia
-
Burundi yawaachia huru mamia ya wafungwa
Jan 24, 2017 04:39Serikali ya Burundi imewaachia huru mamia ya wafungwa kufuatia agizo la Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo, huku watetezi wa haki za binadamu wakidai kuwa hiyo ni njama ya kutoa nafasi ya kukamatwa wanaharakati wa kisiasa.
-
SAUTI: Askari 850 wa Burundi watatumwa CAR wiki hii
Jan 23, 2017 13:13Wanajeshi wapatao 188 wa Burundi wameelekea Jamuhuri ya Afrika ya Kati kujiunga na kikosi cha kofia ya buluu cha Umoja wa Mataifa cha kusimamia amani nchini humo.
-
SAUTI: Burundi na AU zamaliza vutanikuvute kuhusiana na suala la ulipaji mishahara kwa askari wa nchi hiyo walioko Somalia
Jan 19, 2017 13:08Serikali ya Burundi imeelewana na Umoja wa Afrika kuhusiana na swala la ulipaji mishahara ya wanajeshi wa nchi hiyo wanaohudumu katika kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika AMISOM nchini Somalia.