-
Burundi yakanusha vikali madai ya kuwatesa wapinzani
Jul 10, 2016 02:57Serikali ya Burundi imesema kuwa, ripoti ya Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Huma Rights Watch kwamba, serikali ya Bujumbura imekuwa ikiwatesa wapinzani haina ukweli wowote.
-
Baribonekeza: Burundi itakabiliana na biashara ya magendo ya binadamu
Jul 08, 2016 09:08Mkuu wa Tume Huru ya Haki za Binadamu nchini Burundi amesema kuwa, nchi hiyo itakabiliana kwa nguvu zake zote za biashara ya magendo ya binadamu.
-
Seikali ya Burundi yatuhumiwa kuwatesa wapinzani
Jul 08, 2016 03:00Serikali ya Burundi kwa mara nyingine tena imetuhumiwa kwamba inawatesa wapinzani wake.
-
Azma ya serikali ya Burundi kwa ajili ya kurejesha usalama nchini humo
Jul 03, 2016 12:27Rais wa Burundi ametangaza azma ya serikali yake ya kutatua masuala kadhaa, ikiwemo kurejeshwa usalama nchini humo.
-
Rais Nkurunziza: Tunajitahidi kuimarisha usalama na amani Burundi
Jul 02, 2016 08:50Rais Pirre Nkurunziza wa Burundi amesema kuwa, serikali yake imezimia kuimarisha usalama na amani nchini humo.
-
Jumuiya za kiraia Burundi zaitaka serikali kupambana na magendo ya wanawake
Jul 02, 2016 03:33Jumuiya za kiraia nchini Burundi zimeitaka serikali ya nchi hiyo kukomesha magendo ya wanawake na wasichana wanaotoroshwa nchini humo na kupelekwa nchi za nje hususan Saudi Arabia.
-
Hali ya haki za binadamu Burundi yajadiliwa katika Baraza la Haki za Binadamu
Jun 29, 2016 22:58Hali ya haki za binadamu nchini Burundi imejadiliwa katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.
-
AU yataka kusuluhishwa mzozo wa Burundi haraka
Jun 28, 2016 03:04Umoja wa Afrika umetoa wito wa kufanyika haraka mazungumzo ya kina yatakayojumuisha pande zote husika kwa ajili ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Burundi.
-
Wanaharakati wataka kukomeshwa ukiukwaji wa haki za binadamu Burundi
Jun 25, 2016 23:42Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ishughulikie ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi.
-
Polisi Burundi yawakamata wafanya magendo ya binadamu
Jun 21, 2016 10:29Polisi ya Burundi imewatia nguvuni watu kadhaa kwa tuhuma za kushiriki katika magendo ya binadamu.