-
AU yazitolea wito pande hasimu Burundi kufanya mazungumzo
Jun 19, 2016 22:50Wawakilishi wa Umoja wa Afrika (AU) katika mgogoro wa kisiasa wa Burundi wamezitolea wito pande zinazozozana katika mgogoro wa nchi hiyo kutatua hitilafu zao kwa njia ya mazungumzo.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya hali ya kiusalama DRC
Jun 18, 2016 03:37Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, yumkini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikatumbukia katika wimbi la ghasia za uchaguzi kama Burundi.
-
UN yaanza kufanya uchunguzi wa uvunjaji wa haki za binaadamu Burundi
Jun 14, 2016 03:32Kundi moja la wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa limefanya safari nchini Burundi kwa ajili ya kufanya uchunguzi kuhusu uvunjwaji wa haki za binaadamu nchini humo.
-
Karibu robo nzima ya wananchi wa Burundi wanaishi katika mgogoro mkubwa wa chakula
Jun 13, 2016 11:07Taasisi mbalimbali za kimataifa zimetangazao kuwa, asilimia 23 ya wananchi wa Burundi wanateseka kwa lishe duni.
-
Makumi wauawa katika mapigano makali jijini Bujumbura
Jun 12, 2016 09:51Duru za habari nchini Burundi zimeripoti kujiri mapigano makali kati ya askari wa serikali na waasi katika maeneo kadhaa ya jiji la Bujumbura, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Polisi wa Burundi kuondolewa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jun 12, 2016 00:00Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kuondolewa maafisa wa polisi wa Burundi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ifikapo mwishoni mwa mwezi ujao wa Julai.
-
Burundi: Hatutaki mazungumzo ya amani na upinzani
Jun 11, 2016 03:05Licha ya juhudi za kimataifa na za kieneo za kutaka kutatuliwa mgogoro wa Burundi, lakini serikali ya nchi hiyo imesema haiko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani.
-
Kuongezeka mivutano katika uhusiano wa Rwanda na Burundi
Jun 08, 2016 09:59Hali ya mvutano katika uhusiano wa Rwanda na Burundi imeongezeka baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda bi Louise Mushikiwabo kusema kuwa nchi yake iko tayari kukabiliana na vitisho vya kiusalama kutoka Burundi.
-
Burundi hali bado si shwari
Jun 06, 2016 09:44Anga ya kisiasa nchini Burundi imeendelea kuwa mbaya, huku duru za habari zikiripoti habari ya kutiwa nguvuni na maafisa usalama wa nchi hiyo mwandishi wa habari Egide Ndayisenga.
-
Kuendelea hali tete Burundi licha ya makataa yaliyotolewa na Nkurunziza
Jun 03, 2016 10:16Hali imeendelea kuwa tete nchini Burundi licha ya Rais Pierre Nkurunzinza kutoa muda maalumu kwa kundi la wapinzani wa serikali, wa kuachana na upinzani wao.