-
Mshauri wa Trump alipewa rushwa ya mabilioni ya dola na Saudia na Imarati
Jul 29, 2019 08:01Wapelelezi wa serikali kuu ya Marekani wanachunguza madai ya mshauri wa uchaguzi wa Rais Dolad Trump wa nchi hiyo kupewa rushwa ya mabilioni ya dola na saudia na Imarati.
-
Washington Post: Trump ni jinamizi baya zaidi kwa demokrasia
Jul 29, 2019 03:37Gazeti la Washington Post limemtaja rais wa Marekani Donald Trump kuwa ni jinamizi baya zaidi linaloitambalia demokrasia ya nchi hiyo.
-
Afisa wa zamani wa CIA: Trump amebomoa muungano wa nchi za Magharibi
Jul 28, 2019 23:50Afisa wa zamani wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amesema kuwa rais wa nchi hiyo amebomoa muungano wa nchi za Magharibi.
-
Wasiwasi wa Russia wa kuwekwa silaha za Marekani katika anga za mbali
Jul 28, 2019 06:35Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ambaye siku zote amekuwa akisisitiza udharura wa kuimarishwa nguvu ya jeshi la nchi hiyo, sasa inafuatilia mipango ya kuweka silaha zake tofauti katika anga za mbali, ikiwemo mifumo ya kukabiliana na makombora.
-
Idadi ya wabunge wa Marekani wanaotaka Trump auzuliwe inazidi kuongezeka
Jul 27, 2019 09:21Idadi ya wajumbe wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wanaotaka rais wa nchi hiyo Donald Trump asailiwe kwa lengo la kumuuzulu imeongezeka baada ya wajumbe wengine wanne kuunga mkono hoja hiyo.
-
Sisitizo la Pompeo kuhusu nafasi ya Saudia katika kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jul 27, 2019 06:22Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imezingatia sana eneo la Ghuba ya Uajemi na nchi za kusini mwa eneo hili hususan Saudi Arabia, ambapo imetiliana nayo saini mikataba ya mauzo ya silaha ambayo ilikuwa haijawahi kushuhudiwa huko nyuma.
-
Trump aupiga veto muswada wa Congress wa kupiga marufuku uuzaji silaha kwa Saudia na Imarati
Jul 25, 2019 21:06Katika juhudi za kuzifanya siasa zake za nje kuwa za kibiashara zaidi, Rais Donald Trump wa Marekani amelipa kipaumbele suala la mauzo ya silaha za nchi hiyo.
-
Trump avunja rekodi ya kusema uongo
Jul 24, 2019 07:49Kanali ya televisheni ya CNN imeanzisha kampeni maalumu ya kutathmini ukweli na uongo wa matamshi anayotoa rais wa Marekani Donald Trump na kuripoti kuwa katika muda wa wiki moja iliyopita kiongozi huyo amesema uongo mara 61.
-
Trump: Ni vigumu sana kufikia makubaliano na Iran
Jul 23, 2019 00:08Rais Donald Trump wa Marekani ambaye baada ya nchi yake kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA alitaka kufanyika mazungumzo mapya na Iran, ingawa hakupata jibu chanya kutoka kwa Tehran, sasa amesema kuwa kufikiwa makubaliano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni suala gumu sana.
-
Trump: Kwa sasa hatuna mapango wa kuiwekea vikwazo Uturuki
Jul 19, 2019 22:01Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, kwa sasa serikkali ya Washington haina mpango wa kuiwekea vikwazo Uturuki.