-
WHO: Mripuko wa 14 wa Ebola katika jimbo la Equateur, DRC umetokomezwa
Jul 06, 2022 02:33Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa, mripuko wa Ebola uliotangazwa tarehe 23 mwezi Aprili mwaka huu huko Mbandaka, mji mkuu wa jimbo la Equateur katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetokomezwa.
-
Ivory Coast yarekodi kisa cha kwanza cha Ebola katika miaka 25
Aug 15, 2021 13:28Waziri wa Afya wa Ivory Coast ametangaza kuwa nchi hiyo imesajili kisa cha kwanza cha virusi vya kutokwa na damu vya Ebola ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 25.
-
WHO: Tunatazamia Guinea itangaze mwisho wa mripuko wa Ebola
Jun 19, 2021 12:34Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema anatarajia kuwa serikali ya Guinea itatangaza leo Jumamosi habari ya kudhibitiwa mripuko wa hivi sasa wa ugonjwa wa Ebola nchini humo.
-
Hofu yatanda Guinea kufuatia kuenea uvumi wa wagonjwa wa Ebola kunyofolewa viungo
May 15, 2021 04:28Shirika la Afya Duniani (WHO) limezindua mpango wa pamoja wa mawasiliano na serikali ya Guinea kwa lengo la kukabili kusambaa kwa habari potofu dhidi ya ugonjwa wa Ebola, ikiwemo uvumi kwamba miili ya watu wanaofariki dunia kutokana na ugonjwa huo inatolewa viungo vyao kwa ajili ya biashara.
-
DRC yadhibiti mripuko wa 12 wa ugonjwa wa Ebola
May 04, 2021 01:33Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya kudhibitiwa mripuko wa 12 wa ugonjwa wa Ebola nchini humo, miezi mitatu baada ya kesi ya kwanza kuripotiwa katika mkoa wa Kivu Kaskazini.
-
Afrika CDC: Ebola imeua watu 13 Kongo DR na Guinea
Mar 07, 2021 07:35Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika CDC kimesema idadi ya watu walioaga dunia kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Guinea imeongezeka na kufikia watu 13.
-
WHO yaanza kutoa chanjo ya Ebola DRC
Feb 20, 2021 03:10Shirika la Afya Duniani WHO limeanza zoezi la kutoa chanjo ya Ebola ili kukabiliana na mlipuko mpya wa ugonjwa huo nchini Guinea na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Waliofariki kutokana na Ebola Guinea wafika 15
Feb 17, 2021 02:27Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Ebola nchini Guinea sasa imeongezeka na kufikia watu watano huku waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo hatai wakiwa ni 15.
-
Mripuko mpya wa Ebola waripotiwa Guinea, watu 4 wapoteza maisha
Feb 14, 2021 07:55Watu wanne wameripotiwa kuaga dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola katika eneo la Nzerekore, kusini mashariki mwa Guinea.
-
Kesi ya tatu ya Ebola yathibitishwa DRC huku watu 200 wakifuatiliwa
Feb 13, 2021 08:46Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kesi ya tatu ya ugonjwa wa Ebola katika mji wa Butembo jimboni Kivu Kaskazini, eneo ambalo lilikuwa kitovu cha mlipuko wa 10 wa ugonjwa huo uliotangazwa kumalizika mwezi Juni mwaka jana.