-
Kesi nyingine mpya ya Ebola yaripotiwa DRC kabla ya siku chache za kutangazwa kumalizika kwake
Apr 11, 2020 02:24Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya kuthibitishwa kesi nyingine moja ya ugonjwa wa Ebola huko Jamhhuri ya Kidemokrasia ya Congo zikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya kutangazwa rasmi kumalizika kabisa ugonjwa huo nchini humo.
-
Mgonjwa wa mwisho Ebola arejea nyumbani DRC
Mar 05, 2020 07:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mgonjwa wa mwisho wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameruhisiwa kurejea nyumbani baada ya kupatiwa matibabu katika kituo cha matibabu huko kaskazini mashariki mwa mji wa Beni.
-
WHO: Tusisahau Ebola wakati tunashughulikia Corona
Feb 13, 2020 08:22Shirika la Afya Duniani WHO limesema dunia ni lazima iendelee kufadhili vita dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola kwani kuzembea katika hilo kutaleta madhara makubwa.
-
Maambukizi ya ebola yaongezeka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Dec 13, 2019 04:34Maafisa wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema, maambukizi ya ugonjwa hatari wa ebola yameongezeka katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo.
-
WHO: Mapigano yanakwamisha mapambano dhidi ya Ebola Kongo DR
Nov 22, 2019 10:01Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa, vita na mapigano huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanakwamisha jitihada za kutokomeza ugonjwa hatari wa Ebola ambao umeua maelfu ya watu kufikia sasa.
-
Congo yaanza kutoa chanjo mpya ya Ebola katika mji wa Goma
Nov 14, 2019 21:55Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mpaka (MSF) imetangaza kuwa maafisa wa afya wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameanza kutoa chanjo mpya ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola iliyotengenezwa na kampuni ya Johnson & Johnson.
-
WHO na Congo DR zataka kuwekwa sheria kali kuhusu wahudumu wa wagonjwa wa Ebola
Oct 31, 2019 09:22Shirika la Afya Dunia na maafisa wa serikali ya Congo DR wametoa mapendekezo ya kufanyika mabadiliko kuhusu jinsi ya kuwahudumia waathira wa ugonjwa wa Ebola.
-
Watu zaidi ya 60 waaga dunia kwa ugonjwa wa kutatanisha uliozuka kaskazini ya Nigeria
Oct 30, 2019 23:03Ugonjwa wa kutatanisha uliozuka katika jimbo la Katsina kaskazini mwa Nigeria umeua zaidi ya watu 60 katika jimbo hilo.
-
AU: Ebola imeua watu 2,150 kufikia sasa Kongo DR
Oct 22, 2019 04:28Umoja wa Afrika umesema idadi ya watu walioaga dunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa homa hatari ya Ebola imefikia 2,150 tangu maradhi hayo yaripuke tena katika nchi hiyo Julai mwaka jana.
-
Malawi yakanusha kuwepo Ebola eneo linalopakana na Tanzania
Oct 16, 2019 01:08Malawi imekanusha ripoti zilizoenea kwamba mtu mmoja amegunduliwa kuwa na Ebola kwenye eneo la Karonga linalopakana na Tanzania.