-
Ethiopia yarefusha muda wa sheria ya hali ya hatari kwa miezi 4
Mar 30, 2017 11:15Bunge la Ethiopia limetangaza habari ya kurefushwa sheria ya hali ya hatari nchini humo kwa muda wa miezi minne zaidi, wiki mbili baada ya serikali kufuta sheria hiyo.
-
Idadi ya waliofariki dunia katika maporomoko ya taka Ethiopia yafikia 113
Mar 16, 2017 04:22Nchini Ethiopia, idadi ya vifo vilivyosababiswa na maporomoko ya taka katika eneo la kutupa taka viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo Addis Ababa imefikia 113
-
Amnesty yailaumu serikali kwa maporomoko ya taka Ethiopia, waliokufa wakifikia 65
Mar 14, 2017 11:25Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema serikali ya Ethiopia inabeba dhima ya vifo vya makumi ya watu katika mkasa wa maporomoko ya udongo katika eneo la kutupa taka viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo Addis Ababa.
-
48 wapoteza maisha katika maporomoko ya udongo jalalani Ethiopia
Mar 13, 2017 11:00Watu wasiopungua 48 wakiwemo watoto 15 wamefariki dunia katika maporomoko ya udongo yaliyotokea kwenye dampo kubwa la takataka nje kidogo ya mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa. Hayo yameelezwa na msemaji wa Halmashauri ya mji wa Addis Ababa.
-
UN: Watu milioni 5.6 wanakabiliwa na njaa Ethiopia
Jan 29, 2017 10:18Umoja wa Mataifa umesema mamilioni ya watu wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na athari za kiangazi na ukame nchini Ethiopia.
-
Umoja wa Afrika wasisitizia kuimarishwa demokrasia na utawala bora barani humo
Jan 26, 2017 04:09Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Bi, Nkosozana Dlamini Zuma ametaka kuimarishwa demokrasia na kuchungwa haki za binaadamu barani Afrika.
-
Rais Teshome atoa wito wa kuimarishwa uhusiano wa Ethiopia na Iran
Jan 13, 2017 04:02Rais Mulatu Teshome wa Ethiopia amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa pande mbili kati ya Tehran na Addis Ababa.
-
Ethiopia yawafunga jela wanaharakati wanaoshinikiza sheria za Kiislamu
Jan 04, 2017 03:44Mahakama moja nchini Ethiopia imewahukumu vifungo jela wanaharakati 20 wa nchi hiyo ambao wamekuwa wakishinikiza kutumika sheria za Kiislamu nchini humo.
-
Ethiopia yawaachia huru watu karibu elfu 10 'waliokiuka hali ya hatari'
Dec 21, 2016 11:03Serikali ya Ethiopia imewaachia huru takriban watu elfu 10 waliokamatwa chini ya anga ya hali ya hatari lakini inapania kuwapandisha kizimbani maelfu ya wengine wanaotuhumiwa kuhujumu usalama wa taifa.
-
Kenya kutekeleza mpango wa upokonyaji silaha katika mipaka yake na Somalia na Ethiopia
Dec 05, 2016 03:28Serikali ya Kenya imetangaza kuwa, inakusudia kutekeleza mpango wa upokonyaji silaha katika maeneo ya nchi hiyo yanayopakana na nchi za Somalia na Ethiopia.