-
Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Ethiopia
Nov 14, 2016 11:26Zaidi ya watu elfu 11 wametiwa nguvuni na kuwekwa korokoroni nchini Ethiopia kwa kukiuka sheria ya hali ya hatari iliyotangazwa nchini humo.
-
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri Ethiopia
Nov 02, 2016 06:54Waziri Mkuu wa Ethiopia amelifanyia marekebisho baraza lake la mawaziri katika jaribio la kutaka kuzima maandamano na malalamiko ya watu wa makabila ya Oromo na Amhara wanaoituhumu serikali, inayodhibitiwa na kabila la Tigray, kwamba inawabagua .
-
Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia ataka kukomeshwa machafuko ya kisiasa kote nchini
Oct 31, 2016 23:06Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia amesisitiza juu ya kukomeshwa haraka iwezekanvyo machafuko ya kisiasa katika maeneo yote ya nchi hiyo.
-
Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU
Oct 20, 2016 10:04Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco ameanza ziara ya nchi tatu za Afrika Mashariki katika juhudi za kutafuta uungaji mkono wa kurejea nchi hiyo kuwa mwananchama wa Umoja wa Afrika, baada ya kujiondoa kwenye umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.
-
UN: Hali ya hatari Ethiopia inalenga wanadiplomasia na wanahabari
Oct 18, 2016 03:34Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema anafuatilia kwa karibu matukio ya hivi sasa nchini Ethiopia na kueleza wasi wasi wake kuwa hali ya hatari iliyotangazwa hivi karibuni na serikali ya Addis Ababa, inawaathiri zaidi wanadiplomasia na waandishi wa habari.
-
Ethiopia yapitisha sheria kali zaidi za hali ya hatari
Oct 17, 2016 10:49Wizara ya Ulinzi ya Ethiopia imetangaza habari ya kuanzisha sheria kali zaidi za hali ya hatari nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia ataka kusitishwa haraka machafuko
Oct 10, 2016 10:14Waziri Mkuu wa Ethiopia ametaka kusiitishwa haraka iwezekanavyo ghasia za kisiasa nchini humo.
-
Kuendelea malalamiko na maandamano ya wananchi nchini Ethiopia
Oct 08, 2016 09:16Malalamiko ya wananchi na maandamano ya wapinzani wa kisiasa wa serikali ya sasa ya Ethiopia yangali yanaendelea.
-
Waandamanaji wenye hasira washambulia viwanda vya makampuni ya kigeni nchini Ethiopia
Oct 08, 2016 00:34Wananchi wenye hasira wamebomoa na kuharibu makumi ya viwanda vinavyomilikiwa na makampuni ya kigeni, mashamba ya maua pamoja na kuchoma moto magari kadhaa kulalamikia kile wanachoeleza uporaji ardhi zao unaofanywa na serikali nchini Ethiopia.
-
Viongozi wawili wa upinzani nchini Ethiopia watiwa nguvuni
Sep 12, 2016 23:45Duru za kuaminika zimeripoti kuwa viongozi wawili wa upinzani nchini Ethiopia wametiwa nguvuni.