-
Uchaguzi wa Gambia unafanyika leo, Rais Jammeh anawania kipindi cha tano cha uongozi
Dec 01, 2016 01:06Wananchi wa Gambia waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua Rais wa nchi hiyo.
-
Gambia yaizuia timu ya waangalizi wa uchaguzi wa EU nchini humo
Nov 19, 2016 04:21Serikali ya Gambia imekataa kuruhusu timu ya waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya EU kuingia nchini humo kwa ajili ya kufuatilia uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mapema mwezi ujao.
-
UN yaainisha tarehe ya kujiondoa rasmi Gambia ICC
Nov 15, 2016 04:20Umoja wa Mataifa umetangaza tarehe ya kujiondoa rasmi Gambia katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
HRW: Rais wa Gambia anawatesa wapinzani na wakosoaji wake
Nov 03, 2016 00:24Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linamtuhumu Rais wa Gambia Yahya Jammeh kuwa anawakandamiza na kuwatesa wapinzani na wakosoaji wake na kwamba yumkini uchaguzi mkuu ujao wa Disemba Mosi usiwe huru na wa haki.
-
Gambia nayo yatangaza azma yake ya kujiondoa ICC
Oct 26, 2016 11:26Gambia imejiunga na nchi kadhaa za Afrika zilizotangaza azma yao ya kujiondoa katika Mkataba wa Roma uliobuni Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Wapinzani Gambia wamtangaza mgombea kiti cha urais
Sep 02, 2016 22:50Chama kikubwa zaidi cha upinzani nchini Gambia kimemtangaza mgombea wake atakayechuana na Rais wa muda mrefu wa nchi hiyo, Yahya Jammeh katika uchaguzi wa rais mwezi Desemba.
-
Mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yaanza nchini Gambia
Jul 27, 2016 09:29Mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yameanza nchini Gambia kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa nchi 28.
-
Kiongozi wa upinzani Gambia ahukumiwa miaka 3 jela
Jul 21, 2016 09:17Kiongozi wa upinzani nchini Gambia Ousainou Darboe amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.
-
UN yalaani matamshi ya chuki za kikabila ya Rais wa Gambia
Jun 11, 2016 10:59Mshauri Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Uzuiaji Mauaji ya Kimbari amelaani hotuba ya kichochezi ya Rais Yahya Jammeh wa Gambia ya kutishia kuliangamiza kabila la Mandinka nchini humo.
-
Waislamu wa Gambia wanaoishi Marekani, waitaka Washington ikomeshe dhulma nchini mwao
May 31, 2016 11:04Wanaharakati wa Kiislamu raia wa Gambia wanaoishi nchini Marekani, wameandamana hadi mbele ya ikulu ya White House wakitaka kuhitimishwa dhulma na ukandamizaji nchini mwao.