Pars Today
Tumo katika siku za mwezi wa Muharram ambao unakumbusha msiba adhimu na mkubwa kwa Umma wa Kiislamu.
Nukuu za historia zinasema, Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib, mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW) aliingia Karbala siku ya Alhamisi tarehe Pili Muharram, 61 Hijiria.
Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo wameshiriki katika maombolezo ya kumbukumbu ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (a.s).
Leo ni Ijumaa tarehe 06 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria sawa na Julai 12 mwaka 2024.
Leo ni Jumatatu tarehe Pili Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria, mwafaka na tarehe 8 Julai 2024.
Leo ni Jumanne tarehe 3 Shaaban 1445 Hijria sawa na tarehe 13 Februari 2024.
Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria sawa na Julai 20 mwaka 2023.
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdulmalik Badruddin Al-Houthi amesema, Imam Hussein (AS) alisimama kupambana kwa ajili ya kuuokoa Uislamu na shari ya maadui.
Leo ni tarehe 8 Muharram 1444 Hijria sawa na Agosti 6 mwaka 2022.
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema Imam Hussein (AS) aliarifsha hoja ya muqawama kwa waumini wote wa Kiislamu, na kwamba mapambano ndiyo njia pekee ya kupata mafanikio.