-
Mashirika 99 yataka kusitishwa mauzo ya silaha kwa Saudia, UAE
Feb 13, 2021 08:53Mashirika 99 ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yametoa mwito wa kusitishwa mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu sambamba na kuondolewa mzingiro dhidi ya Yemen.
-
Wasiwasi wa UN wa kuendelea kuteswa wanaharakati katika jela za Imarati
Feb 12, 2021 07:40Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Haki za Binadamu ameelezea kusikitishwa na hali mbaya na mateso wanayofanyiwa wanaharakati wa haki za binadamu katika jela za Umoja wa Falme za Kiarabu na ametaka waachiliwe huru.
-
Imarati, Bahrain zawakatia Wapalestina misaada baada ya kuikumbatia Israel
Feb 07, 2021 07:48Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain zimepunguza kwa kiasi kikubwa misaada yao ya kifedha iliyokuwa ikiwapa wananchi wa Palestina, baada ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Italia pia yasitisha mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati
Jan 30, 2021 07:52Serikali ya Italia imesimamisha uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, baada ya wanaharakati na wabunge wa nchi hiyo ya Ulaya kuonya kuwa, silaha hizo zinatumika kukanyaga haki za binadamu nchini Yemen.
-
Kufunguliwa ubalozi; Imarati katika mkondo wa kupanua uhusiano na Israel
Jan 27, 2021 02:41Ubalozi wa utawala haramu wa Israel ulifunguliwa rasmi huko Abu Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) tarehe 21 ya mwezi huu wa Januari.
-
Palestina yaishtaki rasmi Imarati Umoja wa Mataifa
Jan 24, 2021 04:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina Riyadh al Maliki amewasilisha rasmi mashtaka dhidi ya Imarati kwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet.
-
Madola vamizi yazidi kuiba mafuta ya wananchi maskini wa Yemen
Jan 17, 2021 02:20Duru za usalama za Yemen zimetangaza kuwa, madola vamizi yanayoongozwa na Saudi Arabia na Imarati yanaendelea kuiba mafuta ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Pompeo ashitakiwa juu ya mauzo ya haraka ya silaha kwa Imarati
Jan 01, 2021 04:15Kesi imewasilishwa katika Mahakama ya Federali ya Marekani kuzuia hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo, Mike Pompeo, ya kuuzia silha aUmoja wa Falme za Kiarabu bila kufuata taratibu zinazotakiwa, katika wiki za mwisho za urais wa Donald Trump.
-
Kutangaza msimamo wa wazi Pakistan wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Dec 23, 2020 13:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amepinga aina yoyote ya mashinikizo ya nje dhidi ya nchi hiyo kwa ajili ya kujiunga na safau ya nchi zinazoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni na kueleza kuwa: Islamabad katu haitaitambua rasmi Israel.
-
Pakistan yaiambia UAE: Katu hatutaitambua Israel
Dec 22, 2020 07:23Kwa mara nyingine tena, serikali ya Pakistan imesisitiza kuwa, kamwe haitoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel licha ya mashinikizo ya nchi ajinabi.