-
Iran yalaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu Burkina Faso
Sep 08, 2023 04:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililouwa makumi ya watu nchini Burkina Faso.
-
Iran: Taarifa ya Japan na Waarabu kuhusu visiwa vitatu haina maana
Sep 07, 2023 23:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa taarifa ya pamoja iliyotolewa na Japan na nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vitatu vya Iran vya Bu Musa, Tomb Ndogo na Tomb Kubwa na kusisitiza kuwa taarifa hiyo haina umuhimu wowote.
-
Balozi wa Saudia awasili Tehran; wa Iran pia akaribishwa Riyadh
Sep 06, 2023 07:06Baada ya kupita miaka kadhaa tangu kuvunjika uhusiano wa kidiplomasia baina ya Iran na Saudi Arabia, Balozi mpya wa Saudia amewasili hapa Tehran; hatua inayoashiria kufunguliwa kwa ukurasa mpya wa uhusiano baina ya mataifa haya mawili.
-
Rais wa Iraq: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha usalama wa eneo
Sep 05, 2023 23:44Rais wa Iraq amesema kuwepo uhusiano wa karibu kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kutapelekea kuimarikaa usalama na uthabiti wa eneo.
-
Waziri wa Ulinzi: Muda wa vikwazo vyote vya silaha dhidi ya Iran utamalizika mwezi ujao wa Oktoba
Sep 05, 2023 09:38Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani ametangaza kuwa muda wa vikwazo vyote vya kidhalimu vya silaha ilivyowekewa Jamhuri ya Kiislamu utamalizika mwezi ujao wa Oktoba na kueleza pia utayari wa Iran wa kupanua uhusiano wa kiulinzi na nchi zote zenye misimamo huru.
-
Ndege isiyo na rubani ya Karrar yazifukuza ndege za Marekani katika anga ya Iran
Sep 04, 2023 00:43Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Iran amesema ndege isiyo na rubani ya Karrar imezionya mara kadhaa ndege za ujasusi za Marekani na ndege nyingine za kigeni na kuzitaka kuwa mbali na anga ya Iran.
-
Iran yakosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Kibinadamu la UN
Sep 02, 2023 08:00Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amekosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo.
-
Velayati: Uanachama wa BRICS umevunja sera ya US ya kuitenga Iran
Aug 29, 2023 23:02Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kupewa uanachama Iran katika kundi la BRICS kumesambaratisha sera ya Marekani ya kujaribu kuitenga Jamhuri ya Kiislamu.
-
Raisi: Maadui wameshindwa kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran
Aug 29, 2023 08:31Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema adui amefeli katika njama zake za kuitenga Jamhuri ya Kiislamu na dunia, na pia kuwakatisha tamaa wananchi wa nchi hii.
-
Uanachama rasmi wa Iran katika kundi la BRICS; risala na matokeo
Aug 26, 2023 10:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekubaliwa rasmi na kuwa mwanachama wa BRICS miezi kadhaa tu baada ya kukubaliwa uanachama pia katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.