-
Rais wa Iran azitaka nchi za eneo zisipuuze njama za kibeberu za US-Israel
Apr 03, 2022 22:06Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi yoyote katika eneo la Asia Magharibi itayopuuza njama na malengo ya kibeberu ya Marekani na utawala wa Kizayuni, itakuwa imepuuza maslahi ya taifa lake, na itaandamwa na ghadhabu za mataifa ya Kiislamu.
-
Iran: Afrika ni bara lenye fursa nyingi
Apr 02, 2022 22:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ina azma thabiti na imejitolea kwa dhati kuona bara la Afrika linafanikiwa na kustawi.
-
Jahromi: Marekani inasalia kuwa adui wa kudumu wa taifa la Iran
Apr 02, 2022 08:35Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vipya vya Washington dhidi ya raia wa Iran vinaonyesha wazi kuwa, Marekani inasalia kuwa adui wa kudumu wa taifa hili.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China Wasisitiza Udharura wa Kukabiliana na Vikwazo Haramu
Apr 02, 2022 03:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa China, Wang Yi wamejadili masuala ya pande mbili, kieneo na kimataifa pembezoni mwa mkutano wa tatu wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi jirani na Afghanistan.
-
Iran: Uzalishaji wa mafuta ghafi umerejea katika kiwango cha kabla ya vikwazo
Apr 01, 2022 22:06Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kiwango cha uzalishaji wa mafuta ghafi ya taifa hili kimeongezeka na kurejea katika kiwango cha kipindi cha kabla ya vikwazo, ilivyowekewa nchi hii na utawala wa Donald Trump baada ya kuiondoa Marekani kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwaka 2018.
-
Mashambulizi dhidi ya askari wa US yameongezeka kwa 400% tangu auawe Soleimani
Apr 01, 2022 22:05Washington imekiri kuwa, tangu Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) auawe kigaidi nchini Iraq, mashambulizi dhidi ya askari wa Marekani yameongezeka kwa asilimia 400.
-
Ershadi: Vikwazo vinatishia haki ya tiba ya wananchi wa Iran
Mar 30, 2022 02:16Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani ni tishio kubwa kwa haki ya kupata huduma za afya, matibabu na dawa wananchi wa Iran.
-
Marekani yaendeleza msimamo ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA
Mar 27, 2022 23:09Mwakilishi maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran ameendeleza msimamo wa Washington ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA kwa kudai kwamba, serikali ya sasa haiwezi kutoa hakikisho na dhamana juu ya maamuzi yatakayochukuliwa na serikali ijayo ya Marekani kuhusu makubaliano hayo.
-
Iran na EU zajadili masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna
Mar 27, 2022 07:59Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna, Ali Baqeri Kani amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Enrique Mora, mratibu wa mazungumzo ya Vienna, ambapo wamejadili hatua zilizopigwa na masuala yaliyosalia katika mazungumzo hayo yanayofanyika huko Austria.
-
Iran: Vikosi vamizi vya Marekani viondoke Syria mara moja
Mar 25, 2022 21:53Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikosi vya Marekani na waitifaki wake vinapaswa kuondoka Syria haraka iwezekanavyo.