Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Bunge la Iran lapinga kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua

    Bunge la Iran lapinga kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua

    Apr 04, 2021 07:31

    Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepinga pendekezo la kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua.

  • Iran yalaani kufunguliwa ubalozi wa Bahrain mjini Tel Aviv

    Iran yalaani kufunguliwa ubalozi wa Bahrain mjini Tel Aviv

    Apr 04, 2021 03:25

    Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, limelaani hatua ya utawala wa kifalme wa Bahrain kufungua ubalozi katika utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kamati ya pamoja ya Iran na Iraq yachunguza mauaji ya kigaidi ya Soleimani

    Kamati ya pamoja ya Iran na Iraq yachunguza mauaji ya kigaidi ya Soleimani

    Apr 03, 2021 05:13

    Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema faili la mauaji ya kigaidi ya Shahid Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) linafuatiliwa na kamati ya pamoja ya Iran na Iraq.

  • Iran yaipa Kenya msaada wa vifaa vya kupambana na Corona

    Iran yaipa Kenya msaada wa vifaa vya kupambana na Corona

    Apr 02, 2021 22:16

    Kenya imepokea msaada wa suhula za matibabu na vifaa vya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Zarif: Hakuna udharura wa kufanyika mkutano kati ya Iran na Marekani

    Zarif: Hakuna udharura wa kufanyika mkutano kati ya Iran na Marekani

    Apr 02, 2021 22:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani juu ya kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na kwamba hakuna udharura wa kufanyika mkutano baina Tehran na Washington.

  • Rouhani: Ni zamu ya kundi la 5+1 kutekeleza wajibu wake mkabala wa Iran

    Rouhani: Ni zamu ya kundi la 5+1 kutekeleza wajibu wake mkabala wa Iran

    Apr 01, 2021 07:10

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imetekeleza barabara wajibu wake na kufungamana na ahadi zake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na hivi sasa ni zamu ya kundi la 5+1 kutekeleza jukumu lake.

  • Naim Qassim: Kushikamana Waislamu kumesambaratisha njama za US-Israel

    Naim Qassim: Kushikamana Waislamu kumesambaratisha njama za US-Israel

    Apr 01, 2021 06:05

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuungana na kushikamana Waislamu pasina kujali tofauti zao za kimitazamo na kiitikadi kumesambaratisha njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kuyagawanya vipande vipande mataifa ya Kiislamu.

  • Rais Rouhani: Endapo Marekani itatekeleza ahadi zake, sisi pia tutafanya hivyo

    Rais Rouhani: Endapo Marekani itatekeleza ahadi zake, sisi pia tutafanya hivyo

    Mar 31, 2021 07:20

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo kutakuwa na azma imara na Marekani ikarejea katika mazingira ya kabla ya vikwazo, sisi pia siku hiyo hiyo tutaanza kutekeleza ahadi zetu.

  • White House: Tunachunguza uwezekano wa kutekeleza vikwazo baada ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na China

    White House: Tunachunguza uwezekano wa kutekeleza vikwazo baada ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na China

    Mar 30, 2021 03:25

    Msemaji wa White House ametoa radiamali yake kufuatia kusainiwa mpango wa ushirikiano wa kimkakati wa miaka 25 kati ya Iran na China.

  • Ali Shamkhani: Ushirikiano wa kistratejia Mashariki unaharakisha kusambaratika Marekani

    Ali Shamkhani: Ushirikiano wa kistratejia Mashariki unaharakisha kusambaratika Marekani

    Mar 29, 2021 03:45

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, ushirikiano wa kistratejia wa Mashariki utaharakisha kusambaratika Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS