Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Meja Jenerali Salami: Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kwa waliomuua

    Meja Jenerali Salami: Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kwa waliomuua

    Nov 16, 2020 04:29

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza tena akisema: "Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda shahidi Qassim Suleimani kwa waliomuua."

  • Rouhani: Bajeti ijayo ya Iran haitategemea mapato ya mafuta

    Rouhani: Bajeti ijayo ya Iran haitategemea mapato ya mafuta

    Nov 15, 2020 09:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema muswada wa bajeti ya mwaka ujao wa kifedha wa Iran unapania kufuta kikamilifu utegemezi wa mapato ya mauzo ya mafuta.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iraq aonana na Brigedia Jenerali Baqeri

    Waziri wa Ulinzi wa Iraq aonana na Brigedia Jenerali Baqeri

    Nov 15, 2020 04:35

    Waziri wa Ulinzi wa Iraq ambaye yuko ziarani hapa nchini Iran ameonana na kuzungumza na Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikozi vya Ulinzi vya Iran.

  • Jumapili tarehe 15 Novemba 2020

    Jumapili tarehe 15 Novemba 2020

    Nov 14, 2020 23:02

    Leo ni tarehe 29 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria sawa na Novemba 15 mwaka 2020.

  • Iran yapuuzilia mbali madai ya kuuawa kinara wa al-Qaeda hapa nchini

    Iran yapuuzilia mbali madai ya kuuawa kinara wa al-Qaeda hapa nchini

    Nov 14, 2020 04:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu Iran amekanusha vikali habari za kipropaganda zinazodai kuwa kiongozi wa ngazi za juu wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda ameuawa hapa nchini.

  • Kundi la G77 na China zataka Iran iondolewe vikwazo mara moja

    Kundi la G77 na China zataka Iran iondolewe vikwazo mara moja

    Nov 14, 2020 03:54

    Kundi la nchi 77 (G77) pamoja na China zimetaka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran viondolewa haraka iwezekanavyo.

  • Iran yaishauri Saudia iache kujipendekeza kwa Israel

    Iran yaishauri Saudia iache kujipendekeza kwa Israel

    Nov 14, 2020 03:48

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ameiasa Saudi Arabia ikomeshe mienendo yake ya kujipendekeza, kujidhalilisha na kujikomba kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Chanjo 5 za COVID-19 za Iran zinasubiri kupasishwa na WHO

    Chanjo 5 za COVID-19 za Iran zinasubiri kupasishwa na WHO

    Nov 13, 2020 23:04

    Msemaji wa Shirika la Chakula na Madawa la Iran ametangaza kuwa, chanjo 5 za corona zilizotengenezwa nchini Iran, hivi sasa zinasubiri kupasishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO).

  • Watu 546,000 wamepona corona Iran hadi sasa

    Watu 546,000 wamepona corona Iran hadi sasa

    Nov 13, 2020 08:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Afya ya Iran Daktari Sima Sadat Lari ametangaza leo kuwa, hadi sasa watu 738,000 wameambukizwa corona au COVID-19 nchini na kuwa miognoni mwao 546,642 wamepona.

  • Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, muendelezo wa njama za aliyeshindwa

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, muendelezo wa njama za aliyeshindwa

    Nov 12, 2020 07:13

    Baada ya Donald Trump kuitoa Marekani katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia yajulikanayo kwa jina la JCPOA hapo mwezi Mei 2018, Washington iliiwekea Iran vikwazo vya kiwango cha juu na hadi leo hii, kila siku inaweka vikwazo vipya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS