-
Iran: Ripoti mpya ya IAEA inaonyesha wakala huo unaendelea na ukaguzi nchini
Nov 12, 2020 04:32Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Taasisi za Kimataifa zenye makao yao mjini Vienna Austria amesema ripoti mpya iliyotolewa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) inaonyesha kuwa taasisi hiyo ya kimataifa inaendelea kukagua na kufanyia uhakiki miradi ya nyuklia ya Iran bila vizingiti vyovyote.
-
Iran: Hatuogopi Trump akibaki wala hatutasisimuka Biden akiingia madarakani
Nov 11, 2020 04:23Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria matukio ya sasa ya uchaguzi wa rais nchini Marekani na kusema: "Hatuogopi iwapo Trump atabakia na wala hatutasisimuka iwapo Biden ataingia madarakani. Tunachukua maamuzi kwa mujibu wa maslahi yetu."
-
Kamanda: Iran haitaruhusu anga yake iwe sehemu ya kufanyia majaribio
Nov 10, 2020 03:58Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Khatamul Anbia cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezionya pande hasimu katika mgogoro wa Armenia na Jamhuri ya Azerbaijan dhidi ya kufanya kosa la kuhujumu anga ya nchi hii.
-
Amir wa Qatar asisitiza kuimarishwa uhusiano na Iran
Nov 10, 2020 01:11Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani ametaka kuimarishwa uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Makamu wa Rais wa Iran: Vituko vya Trump vimefika ukingoni
Nov 08, 2020 04:41Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amesema zama za Rais Donald Trump wa Marekani na vituko vyake pamoja na timu yake inayopenda vita zimefika ukingoni.
-
Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Cuba wakutana Havana
Nov 07, 2020 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambaye yuko nchini Cuba kwa ziara rasmi, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Cuba Bruno Rodriguez.
-
Iran yatuma zana za kivita katika mpaka wa magharibi mwa nchi
Nov 06, 2020 07:09Jeshi la nchi kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetuma zana za kivita na wanajeshi katika ukanda wa mpaka wa Iran na Armenia na Jamhuri ya Azerbaijan.
-
Meja Jenerali Salami: Tutatoa majibu makali kwa vitisho vyovyote katika mipaka ya Iran
Nov 05, 2020 23:19Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, Iran iko imara kukabiliana vilivyo na vitisho vyovyote katika mipaka yake.
-
"Serikali ijayo ya Marekani haina budi kusalimu amri mbele ya Iran"
Nov 05, 2020 08:53Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema serikali ijayo ya Marekani haitakuwa na chaguo jingine ghairi ya kusalimu amri mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Onyo la Lavrov kuhusu uwepo wa mamluki 2000 wa kitakfiri huko Karabakh
Nov 05, 2020 00:28Russia daima imekuwa ikitahadharisha kuhusu hatari ya uwepo wa makundi ya kigaidi yenye misimamo ya kupindukia mpaka katika nchi hiyo na nchi nyingine za Caucasia na Asia ya Kati na kusisitiza udharura wa kupambana na makundi hayo.