-
Rais Rouhani: Iran ina nia ya kweli ya kuacha wazi njia zote za kulinda mapatano ya JCPOA
Jul 19, 2019 01:58Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba, juhudi za Paris za kuyalinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni muhimu na kusisitiza kuwa, Tehran ina nia ya kweli ya kuweka wazi njia zote za kuhakikisha makubaliano hayo yanalindwa.
-
Hamas yataka kususiwa sarafu dola ya Marekani
Jul 18, 2019 22:03Musa Abu Marzouq mjumbe wa ngazi ya juu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa wito wa kususiwa sarafu ya dola ya Marekani.
-
Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani; Iran haitasalimu amri
Jul 18, 2019 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, sera za vikwazo za serikali ya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran ni ugaidi; na akasisitiza kwamba: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.
-
Dakta Javad Zarif: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi
Jul 18, 2019 02:48Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sera za Marekani za kuliwekea vikwazo taifa la Iran ni ugaidi na kwamba, Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.
-
Iran: Hatutojadiliana na yeyote kuhusu uwezo wetu wa makombora
Jul 17, 2019 02:56Msemaji wa Ofisi ya Uwakilishi ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu makombora yake ya kujihami.
-
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali
Jul 16, 2019 03:37Marekani imekuwa ikitumia fimbo vya vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali duniani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kijuba na kimabavu.
-
EU: Iran kupunguza uwajibikaji wake hakujakiuka JCPOA
Jul 16, 2019 03:26Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia haijakiuka pakubwa mapatano hayo ya JCPOA.
-
Maulamaa wa Iran waitaka Nigeria imuachie huru Sheikh Zakzaky
Jul 16, 2019 02:44Jumuiya ya Wanazuoni wa Hauza ya Kidini ya Qom hapa nchini Iran sambamba na kulaani kuendelea kushikiliwa korokoroni katika mazingira mabaya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi Nigeria, wameitaka serikali ya Abuja imuachie huru kiongozi huyo wa Waislamu ya madhehebu ya Shia.
-
Zarif: Iran haitasita katika kujilinda na kulihami taifa
Jul 16, 2019 00:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haitaki mivutano lakini kama itashambuliwa, basi haitasita hata kidogo kujibu mapigo na kujihami.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jul 15
Jul 15, 2019 01:55Hujambo mpenzi msikilizaji natumai huna neno, karibu tututupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa…….