Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • "Siasa za Marekani dhidi ya Iran zimefeli"

    Jul 07, 2019 22:12

    Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefeli.

  • Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wao wa kiutamaduni

    Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wao wa kiutamaduni

    Jul 06, 2019 21:50

    Waziri wa Jinsia na Utamaduni wa Uganda amesema nchi hiyo ya Afrika Mashariki ina hamu ya kuimarisha uhusiano wake wa kiutamaduni na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Ni kinaya Marekani kuitisha kikao cha IAEA kujadili JCPOA

    Iran: Ni kinaya Marekani kuitisha kikao cha IAEA kujadili JCPOA

    Jul 06, 2019 08:12

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ni 'kinaya chungu' kuona Marekani imeitisha mkutano wa dharura wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa lengo la kujadili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Jul 06, 2019 07:19

    Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi wanachama wa Ulaya katika kundi la 4+1 mara kwa mara zimekuwa zikisisitiza juu ya ulazima wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; na hata kudai kuwa zimeanzisha mfumo maalumu kwa lengo hilo. Pamoja na hayo, shaari na nara zinaotolewa na pande hizo za Ulaya zinakinzana na matendo yao.

  • Kuisimamisha meli ya mafuta ya Iran, chokochoko za Uingereza katika uwanja wa Marekani

    Kuisimamisha meli ya mafuta ya Iran, chokochoko za Uingereza katika uwanja wa Marekani

    Jul 05, 2019 08:00

    Askari wa Jeshi la Wanamaji la Uingereza jana Alkhamisi waliisimamisha meli ya mafuta ya Iran katika Lango Bahari la Jabal al Tariq kwa madai kwamba ilikuwa inaelekea Syria.

  • Zarif: Hatua ya Iran kupunguza ahadi ilizojifunga nazo itazuia JCPOA kuvunjika kikamilifu

    Zarif: Hatua ya Iran kupunguza ahadi ilizojifunga nazo itazuia JCPOA kuvunjika kikamilifu

    Jul 05, 2019 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran na kueleza bayana kwamba, hatua ya kupunguza ahadi ilizojifunga nazo Iran kwa mujibu wa mapatano hayo inachukuliwa kwa shabaha ya kuzuia JCPOA isivunjike kikamilifu.

  • Mkuu wa IRGC: Iran imefanikiwa kuzima njama za maadui

    Mkuu wa IRGC: Iran imefanikiwa kuzima njama za maadui

    Jul 04, 2019 09:23

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa hili mara zote limefanikiwa kuzima njama na mipango ya hali ya juu ya maadui dhidi yake.

  • Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-32

    Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-32

    Jul 04, 2019 07:39

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 32 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-30

    Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-30

    Jul 04, 2019 07:21

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 30 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-29

    Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-29

    Jul 04, 2019 07:08

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo popote pale mlipo wakati huu. Ninakukaribisheni tena kusikiliza kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomeini (MA) kinachokujieni, siku na saa kama hii, kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hii ikiwa ni sehemu ya 29. 

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS