-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-26
Jun 25, 2019 10:29Ni matumaini yangu kuwa hamjambo popote pale mlipo wakati huu. Ninakukaribisheni tena kusikiliza kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomeini (MA) kinachokujieni, siku na saa kama hii, kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hii ikiwa ni sehemu ya 26.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-25
Jun 25, 2019 10:01Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 25 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kutimia miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-24
Jun 25, 2019 09:49Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 24 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kutimia miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-23
Jun 25, 2019 09:40Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 23 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-22
Jun 25, 2019 09:28Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 22 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Iran: Vikwazo vipya vinaashiria namna Marekani isivyoheshimu sheria za kimataifa
Jun 25, 2019 03:19Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya viongozi wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ni ithibati nyingine tosha kuwa utawala wa Washington hauko tayari kuheshimu sheria za kimataifa.
-
Wasiwasi wa Uingereza kuhusu uwezekano wa kutokea 'vita vya ghafla' kati ya Iran na Marekani
Jun 24, 2019 23:07Serikali ya London haidhani kwamba Tehran na Washington zinataka vita lakini ina wasiwasi mkubwa kuhusiana na uwezekano wa kutokea 'vita vya ghalfa' kati ya Iran na Marekani.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani vinalemaza vita dhidi ya mihadarati
Jun 24, 2019 08:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani na ugaidi wa kiuchumi wa nchi hiyo ya kibeberu dhidi ya taifa la Iran umekuwa kizingiti kikubwa katika ushirikiano wa kimataifa hususan katika vita dhidi ya mihadarati.
-
Ulimwengu wa Spoti, Juni 24
Jun 24, 2019 02:06Hujambo mpenzi msikilizaji wa na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa…..karibu.....
-
Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran
Jun 23, 2019 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema tukio la hivi karibuni la drone ya Marekani kukiuka anga ya Iran katika Bahari ya Oman ilikuwa sehemu ya njama pana za wapenda vita (Timu B) kumtia mtegoni Rais Donald Trump wa Marekani ili aingie katika vita na Iran.